Nimemshangaza mwanafunzi wangu huyu, nahofia asije akatangaza hili

Hiyo mibangi unayovuta ..... Wewe una sauti 7? Kuna zipi na zipi?
1. Ya kike
2. Ya mbwa
3. Ya bibi kizee
4. Ya mbabu
5. Ya juma lokole
6. Ya amber rutty
7. Ya jini.
ndo hizo sauti zako saba? Au kuna nyingine?
 
Huyo dogo alikuuliza maswali gani mpaka uka panic? na kwanini uogope kwa ku panic kwako?

Hiyo ni hali ya kawaida na humtokea mwanadamu yeyote, sioni sababu kwanini utetemeke.

NB. Hizo sauti saba kwa pamoja ndio unamaanisha kitu gani?
 
Mbona umeweka suala hili kimafumbo sana, unamaanisha nini haswa tukusaidie boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…