Ila Leo ni jumatatu.Wengi wao ni Wachaga na sasa hivi wanateleza juu ya daraja mto wami kuliko huko nyuma walivyokuwa wakihangaika kwenye kile chembamba. Leo hii kwenda Moshi wanateleza tu bila hofu.
Alihakikisha pesa zote za umma zinaingia kwenye mfuko wa taifa yaani consolidated fund. Hapa ndipo zikajengwa shule, Zahanati na hospital Lukuki. WanaChadema na Watanzania wote ni wanufaika. Na haya yalifanyika bila mbinyo wa Maandamano na kelele za kitapeli.
Ufisadi ulidhibitiwa nchi nzima..Hata Mbowe alidhibitiwa kuiba michango ya WanaChadema. Hii iliwachukiza sana Wanachadema wapigaji.
Wewe unamjua Magufuli zaidi ya anavyomjua Jokate?Wengi wao ni Wachaga na sasa hivi wanateleza juu ya daraja mto wami kuliko huko nyuma walivyokuwa wakihangaika kwenye kile chembamba. Leo hii kwenda Moshi wanateleza tu bila hofu.
Alihakikisha pesa zote za umma zinaingia kwenye mfuko wa taifa yaani consolidated fund. Hapa ndipo zikajengwa shule, Zahanati na hospital Lukuki. WanaChadema na Watanzania wote ni wanufaika. Na haya yalifanyika bila mbinyo wa Maandamano na kelele za kitapeli.
Ufisadi ulidhibitiwa nchi nzima..Hata Mbowe alidhibitiwa kuiba michango ya WanaChadema. Hii iliwachukiza sana Wanachadema wapigaji.
Kwamba wanaotumia daraja ni wachaga tu? Wengine wanapaa au?Wengi wao ni Wachaga na sasa hivi wanateleza juu ya daraja mto wami kuliko huko nyuma walivyokuwa wakihangaika kwenye kile chembamba. Leo hii kwenda Moshi wanateleza tu bila hofu.
Alihakikisha pesa zote za umma zinaingia kwenye mfuko wa taifa yaani consolidated fund. Hapa ndipo zikajengwa shule, Zahanati na hospital Lukuki. WanaChadema na Watanzania wote ni wanufaika. Na haya yalifanyika bila mbinyo wa Maandamano na kelele za kitapeli.
Ufisadi ulidhibitiwa nchi nzima..Hata Mbowe alidhibitiwa kuiba michango ya WanaChadema. Hii iliwachukiza sana Wanachadema wapigaji.
LabdaKwamba wanaotumia daraja ni wachaga tu? Wengine wanapaa au?
Jiwe alizidi kwakweliKumbe wote ni wauaji tu
Hata nyie wafia dini mnajua mitume wa Mungu ama manabii hawakuweza kukaa mda mrefu ili kutimiza kazi zao. Tunaanza na Yohan Mbatizaji aliuliwa na Erode nadhani kisa mnakijua tukija kwa Yesu aliukumiwa na Pilato kisa mnakijua sasa tunakuja kwa Magufuli tafakalini.
Kumbeeere...insmssnsnhats maslimu sefu mlimuombea auawe?Huyu aliuliwa na Mungu baada ya kilio cha Watanzania wengi
Hata wewe siku ukifa wapo watakao huzinika na wengine watafurahi hiyo ndio hulka ya binadamuBinafsi namshukuru Mungu sana kwa kifo cha jiwe
Wwe mbona hajakuuwa,au wwe si mtanzania!? Mnyonge mnyongeni,lakini haki yake mpeni!!Jiwe aliuwa watanzania wengi sana