Kwanza tusisahau kwamba hata hizo km 12000 mnazompa kikwete alisimamia yeyeJPM alifanya maamuzi magumu sana ambayo maRais wote waliopita hawakuthubutu, kuhamishia makao makuu kuwa Dodoma, ni uthubutu wa aina yake hiyo ni no revise, daraja la kigongo busisi i, natamani daraja likamilike tupite juu yake hata mimi hapo nitapiga goti miaka ya sabini wakati tukisoma mwanza tulipata taabu sana vijana wa leo hawajui ndo maana wanakashifu, "simbuko halisimbuki ila kwa misukosuko" leo tunampa kongole Rais Samia kuhusiana na JNHP lakini aliyemeza wembe akakubali liwalo na liwe akaanza mradihuo ni JPM, mama ameweka tofarikwenye msingi na ni baada ya Chuma kuondoka angekuwepo tungeshasahau habari ya mgao wa umeme siku nyingi na gharama zingeshakuwa za kujiachia.