Nimemshukuru Mungu kwa maisha ya Hayati Magufuli kwa ujenzi wa Daraja la Mto Wami

Wengi wao ni Wachaga na sasa hivi wanateleza juu ya daraja mto wami kuliko huko nyuma walivyokuwa wakihangaika kwenye kile chembamba. Leo hii kwenda Moshi wanateleza tu bila hofu.

Alihakikisha pesa zote za umma zinaingia kwenye mfuko wa taifa yaani consolidated fund. Hapa ndipo zikajengwa shule, Zahanati na hospital Lukuki. WanaChadema na Watanzania wote ni wanufaika. Na haya yalifanyika bila mbinyo wa Maandamano na kelele za kitapeli.

Ufisadi ulidhibitiwa nchi nzima..Hata Mbowe alidhibitiwa kuiba michango ya WanaChadema. Hii iliwachukiza sana Wanachadema wapigaji.
Ila Leo ni jumatatu.
 
Wewe unamjua Magufuli zaidi ya anavyomjua Jokate?
 
Kwamba wanaotumia daraja ni wachaga tu? Wengine wanapaa au?
 
Huyu aliuliwa na Mungu baada ya kilio cha Watanzania wengi
Hata nyie wafia dini mnajua mitume wa Mungu ama manabii hawakuweza kukaa mda mrefu ili kutimiza kazi zao. Tunaanza na Yohan Mbatizaji aliuliwa na Erode nadhani kisa mnakijua tukija kwa Yesu aliukumiwa na Pilato kisa mnakijua sasa tunakuja kwa Magufuli tafakalini.
 
Binafsi namshukuru Mungu sana kwa kifo cha jiwe
Hata wewe siku ukifa wapo watakao huzinika na wengine watafurahi hiyo ndio hulka ya binadamu

Hadi Leo akina Netanyau hawamkubali Yesu japo asilimia 90 Dunia mzima tunaamini Yesu alikuwa mtu safi
 
Kwanza tusisahau kwamba hata hizo km 12000 mnazompa kikwete alisimamia yeyeJPM alifanya maamuzi magumu sana ambayo maRais wote waliopita hawakuthubutu, kuhamishia makao makuu kuwa Dodoma, ni uthubutu wa aina yake hiyo ni no revise, daraja la kigongo busisi i, natamani daraja likamilike tupite juu yake hata mimi hapo nitapiga goti miaka ya sabini wakati tukisoma mwanza tulipata taabu sana vijana wa leo hawajui ndo maana wanakashifu, "simbuko halisimbuki ila kwa misukosuko" leo tunampa kongole Rais Samia kuhusiana na JNHP lakini aliyemeza wembe akakubali liwalo na liwe akaanza mradihuo ni JPM, mama ameweka tofarikwenye msingi na ni baada ya Chuma kuondoka angekuwepo tungeshasahau habari ya mgao wa umeme siku nyingi na gharama zingeshakuwa za kujiachia.
 
Back
Top Bottom