jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Achaa kukariri,tumia upeo wako uliobarikiwa na Mola wako!!!Je, quran inasemaje kuhusu Umri wa ndoa kwa mtoto wa kike?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achaa kukariri,tumia upeo wako uliobarikiwa na Mola wako!!!Je, quran inasemaje kuhusu Umri wa ndoa kwa mtoto wa kike?
Hujamaliza!!! Kuna phrase huwa inaendelea mbele !! "Religion is an opium to the people, you are by far better off without it""Religion is an opium to the people" nimemaliza kunukuu
Kwan uislam unatamka mtoto wa kike aolewe kuanzia miaka mingapi?Saudi Arabia si uislamu wala Qur'an. Ponda yupo sahihi kuhusu umri wa binti kuolewa kwa mujibu wa Dini ya kiislam ila hayupo sahihi katika dai la kuwa miaka 18 ni pendekezo la wakatoliki.
Ni kwa kuwa ninyi wenzetu hamtaji kujifunza. Mnalibeba jambo lilivyo ilimradi tu limetoka kwa Msaada wa Marekani.Sasa hapa kuna elimu gani mnyaanzimungu mwenyewe haelewi ulichoandika
Miaka 9 kama Bi Aisha. Imagine your Baby Girl 9 years mke 25 years Mume.Je, quran inasemaje kuhusu Umri wa ndoa kwa mtoto wa kike?
Hio inakuwa forced marriage...Yaani una binti Yako wa miaka 12 kinakuja kidume kina miaka 40 eti nataka nimuoe aisee!!! Mbona hainiingii akilini kabisa.
Mkuu uko sawa kweli? Kwahiyo Kila wanachofanya wazungu unataka na sie huku tuige sio? Hayo hayo majimbo unayoyasema yanaunga mkono ushoga kwahiyo unakubaliana nao?Ni kwa kuwa ninyi wenzetu hamtaji kujifunza. Mnalibeba jambo lilivyo ilimradi tu limetoka kwa Msaada wa Marekani.
Lkn huko Marekani yako majimbo wanawake sheria kuwa msichana anaweza kuolewa akiwa na miaka 16
Marriageable age - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Umenielewa. Kuwa si kila tunacholetewa tukibebe kama kilivyo kwani hata serikali zao za majimbo hawafati.Mkuu uko sawa kweli? Kwahiyo Kila wanachofanya wazungu unataka na sie huku tuige sio? Hayo hayo majimbo unayoyasema yanaunga mkono ushoga kwahiyo unakubaliana nao?
Nami nakaziaSasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.
Wewe pia unashaza sana. Ulimuamini shehe ponda? You are not serious. Ulimwamini ponda kwa lipi?Nilimuamini sana Sheikh Ponda ila kusema kweli leo nimemdharau sana. Kanisikitisha sana!
Wee acha Baby !! Yaan Hawa viumbe wanataka kula embee bichi , alafu akishafikisha miaka 20, anampa Talaka .🤣🤣🤣Wanataka kuoa tutoto twenye miaka 6,lol si hatari hii,Wana uchu mbaya sana 😅 sisi
Hamna Cha LGBT Wala Bibi yake..acheni Ubakaji !!Wewe Ni team LGBT kwhy achana na uislamu
Ndivo MlivyoUsipende kuwa jumuishi kama unazungumzia maoni ya watu.
Ungeonekana huna mihemko kama ungetumia 'asilimia kubwa' au 'wengi'.
Siku nyingine usiwe mjinga. Sawa?
Biolojia yako uliyosoma ..ulisoma mwenywe shuleni?Mimi siyo muislam ila kibaiolojia haina haja ya kungojea miaka 18 kuolewa.
Sitafuti likes, likes ndo nn??.Shut your pie hole islamophobic cunt! Unatafta likes kwenye iman za watu mbwa wee