bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,443
- 9,854
Nimeshakupa sababu za kibailojia kwa nini umri mkubwa haupo upande wa mwanamke linapokuja suala la kupata mtoto. Hata kiafya mwanamke anapofika 35 huwa anakuwa considered a high risk kupata mimba.
Umri mzuri ni kati ya miaka 18 mpaka 35.....nadhani ukisoma ile kadi ya kliniki ya mama mjamzito ya RCH imejieleza vizuri kabisa na sababu za kitaalamu.