Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Nimeshakupa sababu za kibailojia kwa nini umri mkubwa haupo upande wa mwanamke linapokuja suala la kupata mtoto. Hata kiafya mwanamke anapofika 35 huwa anakuwa considered a high risk kupata mimba.

Umri mzuri ni kati ya miaka 18 mpaka 35.....nadhani ukisoma ile kadi ya kliniki ya mama mjamzito ya RCH imejieleza vizuri kabisa na sababu za kitaalamu.
 
Kuna tatizo mahali lilizembewa kwenye mafunzo na mitazamo.

Mambo mengi yanabadilika kwa dunia ya sasa elimu ni jambo la muhimu na msingi sana tutakapo wakataza hawa watoto wa kike kupata elimu tutajenga taifa lenye watu wajinga baadae, sehemu kubwa ya wanaolea watoto ni wanawake sasa asipokua na elimu kwa dunia yetu unatarajia atakuza watoto watakao jielewa?
Kwahiyo kuna sababu kubwa ya kuwapa elimu na kuwapa muda wakue wapitie malezi stage zote ili kukomaa kiakili. Tatizo tunasimamia misingi ya dini ambayo haitatuendeleza zaidi ni kutoelewa tu mfano ukimtunza binti mpka miaka 18 ndipo awe huru kuolewa kwa Mungu ataandika dhambi?

Wenye dini zao wanabadili mambo fulani kuendana na dunia wapo waliokataza vipaza sauti kushtua watu asubuhi wakati kama unaimani unaamka mda wa sala sio kupaziana sauti za vitisho 😆😆😆😆
Well said. Kuna mpuuzi atakuambia kukataza kutumia vipaza sauti dhambi. Wakati vipaza sauti vimetengenezwa juzijuzi na mzungu. Kazi kwelikweli!
 
Umri mzuri ni kati ya miaka 18 mpaka 35.....nadhani ukisoma ile kadi ya kliniki ya mama mjamzito ya RCH imejieleza vizuri kabisa na sababu za kitaalamu.
umri ni suggestions kila nchi inaweza kuweka taratibu zake...Hata unapoona sheria zipo ila vijijini wanaoana kabisa kwa ruhusa za wazazi na hakuna kitu serikalo inafanya .

unachotakiwa kujua kwa mjini mara chache inatokea hata akiolewa na miaka 23 na kuendelea baada ya kumaliza chuo haina shida ...Ila kuja sehemu ni exceptionally kutokana na mazingira duni binti miaka 12 kashapigwa mimba na maendeleo ya kusoma ni hamna si bora kuolewa na vijana wa sasa mwanamke akiwa single mother kuoa ni kipengele
 
Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.

Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.

Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.

View attachment 2577735
Kwahiyo kwako Saudia Arabia ndo uislamu 🚮
 
Wana Sijida kama hawa wa huku?
Mi mwenyewe nashangaa. Nina anko wangu muislam kwelikweli ana zaidi ya miaka 35 ya ibada na hana sijda. I wonder hawa wengine huwa wanasugua makusudically 🙄
 
Hapo ndipo Waislam wanapotupiga fimbo Wakristo.
Uislam hauendeshwi Kwa Maoni ya MTU au Taifa Fulani.
Uislam msingi wake mkuu ni kitabu cha Quran.
Unaposema Saudia Arabia kama ndio reference ya hoja za kiislam unadhihirisha kuwa kichwa chako ni kibovu.

Sheikhe Ponda yupo Sahihi Kwa mujibu wa sheria za kiislam.
Waislam hawawafuati masheikhe au wafalme au Marais, au mataifa, Bali wanafuata Quran inachosema.

Hilo ndio Gap baina yetu na Waislam.
Na hapo ndipo Waislam walipotuacha Kwa umbali mrefu Sana.
Kimsingi uislam ni Dini Wakati Ukristo ni kama taasisi au Kampuni inayotegemea Maoni ya Watu Fulani fulani
 
Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.

Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.

Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.

View attachment 2577735
Sio qran hata yesu alizaliwa na mama wa miaka 12
 
Mtaongeza single mothers tu. Coz vijijini huko mtoto akimsliza std7 huwa kinachofuata kuolewa
 
Angejua umri alobeba mimba mama ake yesu,asingekurupuka humu.
Mi ndo maana ikitokea mambo ya dini au Imani huwa kubishana sipendi kwakuwa watu wanatukana wengine wanatukana dini za wenzao kwahyo inakuwa haipendezi
 
KUOA KITOTO CHA CHINI YA MIAKA KUMI NA NANE NI KUENDEKEZA UBAKAJI WA KIKANUNI NA KUTANGULIZA NYEGE.HALAFU WATU WAJUE KUNA UISLAM NA SHERIA.
 
Umri mzuri ni kati ya miaka 18 mpaka 35.....nadhani ukisoma ile kadi ya kliniki ya mama mjamzito ya RCH imejieleza vizuri kabisa na sababu za kitaalamu.
Kama mwanamke anataka watoto 9 (naturally) atawapateje akianza kubeba mimba na miaka 35?
 
Well said. Kuna mpuuzi atakuambia kukataza kutumia vipaza sauti dhambi. Wakati vipaza sauti vimetengenezwa juzijuzi na mzungu. Kazi kwelikweli!
Hao ndio hata waarabu hawawataki maana wanaendekeza ujinga hawaijui dini wao kukurupuka tu
 
Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.

Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.

Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.

View attachment 2577735
Nitachangia. Lkn ningependa kuchangia kielimu.

Nianze kukuuliza wewe unaunga moono serikali.

1. Je una dini au imani
2. Kama unayo ni Gani
3. Nini maana ya ndoa
4. Kwanini Mariama anaitwa Bikira Maria.
5. Kwanini Non wanapaswa kuishi kama bikira Maria
6. Nini madhara ya kuolewa kati ya miaka 16 na 17.
7. Nini Madhara wanayoyapata wanyama kama mbuzi akipandwa mara tu baada ya kupevuka.
8. Hoja yako Unataka kuachieve nini

9. Kwa ulivyomuelewa wewe sheikh Ponda unadhani anataka kuachieve nini.
10. Kwa maana wewe unashauri binti wa miaka 16 mwenye matamanio afanye zinaa na asiolewe au asiolewe lkn asiache masomo kama ni mwanafunzi. Au afanye zinaa lkn ajichunge aspate mimba

11. Unajisikia furaha kweli kuoa mke ambae keshapitisjwa mashine za kila aina halafu wewe wa mwisho unatozwa mahari ya juu kabisa.
 
Nitachangia. Lkn ningependa kuchangia kielimu.

Nianze kukuuliza wewe unaunga moono serikali.

1. Je dini au imani
2. Gani
3. Nini maana ya ndoa
4. Kwanini Mariama anaitwa Bikira Maria.
5. Kwanini Non wanapaswa kuishi kama bikira Maria
6. Nini madhara ya kuolewa kati ya miaka 16 na 17.
7. Nini Madhara wanayoyapata wanyama kama mbuzi akipandwa mara tu baada ya kupevuka.
8. Hoja yako Unataka kuachieve nini

9. Kwa ulivyomuelewa wewe sheikh Ponda unadhani anataka kuachieve nini.
10. Kwa maana wewe unashauri binti wa miaka 16 mwenye matamanio afanye zinaa na asiolewe au asiolewe lkn asiache masomo kama ni mwanafunzi. Au afanye zinaa lkn ajichunge aspate mimba
Sasa hapa kuna elimu gani mnyaanzimungu mwenyewe haelewi ulichoandika
 
Je, quran inasemaje kuhusu Umri wa ndoa kwa mtoto wa kike?
Sasa tangu lini sheria ya quran ikazid sheria ya nchi!
Huyu mzee analinganisha mambo mawili tofauti kwenye jukwaa moja kwa sabab sheria za nchi hunyumbulika kukidhi mahitaji na sharia za quran ni conservative in nature.
Ndo mana wanazuoni wanakubaliana dini ndo chanzo cha vuruga nyingi duniani.
 
Back
Top Bottom