Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Unapozungumzia Uislam haitajw nchi mtaje alieamin na kufuata maamrisho ya Dini, kwaio Saudia wakisema Ushoga Ruhsa ndo itakua na maana uislam umepitisha ushoga???
Kwa Saudi Arabia ushoga ni kosa na hauruhusiwi! Acha kutafuta kichaka ambacho hakipo. Wewe huijui Quran kuliko wasaudia period. Acha akili za kibazazi
 
Kingine Saud ya Rabia Hakuna upuuzi was kuoa wake wengi hata Kama unamiliki visima Mia vya mafuta Ni marufuku kuoa wake Zaid ya mmoja hi Sheria IPO had Qatar ,Dubai na Yemen huko

Napenda waislamu wastaarabu siyo Hawa dini ya mnyazimungu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wana Sijida kama hawa wa huku?
 
Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.

Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.

Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.

View attachment 2577735
Umri sahihi kiislam ni kuanzia miaka mingapi?
 
Mtume Muhammad (pbuh) alikemea habari za ukabila na utaifa ( Nationalism). Hilo taifa la Saudi Arabia halina hata miaka 100 toka kuundwa kwake na Muingereza!!

Mtume Muhammad (pbuh) katika hotuba yake ya mwisho alisema kuwa katuachia vitu viwili tushikamane navyo na kamwe hatutapotea kamwe navyo ni QURAN na mwenendo wake (SUNNAH).

Quran inatuarifu kuwa
Al-Ahzab 33:21

لَّقَدْ كَانَ لَكُمْ فِى رَسُولِ ٱللَّهِ أُسْوَةٌ حَسَنَةٌ لِّمَن كَانَ يَرْجُوا۟ ٱللَّهَ وَٱلْيَوْمَ ٱلْءَاخِرَ وَذَكَرَ ٱللَّهَ كَثِيرًا

Swahili

"Hakika nyinyi mnayo ruwaza(kiigizo chema) njema kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa anaye mtaraji Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na akamkumbuka Mwenyezi Mungu sana."

Mungu katuambia tumfuate Mtume Muhammad kwani ndio mfano bora kwetu na sio serikali ya Saudi Arabia inayotawaliwa na Mayahudi wa Uingereza na Marekani. Waislam tukitaka kujua hili haramu au halali tunakwenda kuangalia nini QURAN na Sunnah za Mtume Muhammad (peace be upo him) zinasema! Hatumtazami sheikh wala kiongozi wa nchi wala mfalme.

Kwa utaratibu huu ndio maana umeona dini ya Uislam katika zama za Mtume Muhammad imesalimika kutokana na mikono ya watu , laa sivyo sasa hivi ingekuww imeshabadilishwa kama ilivyokuwa kwa torati ya Mussa na Injili ya Issa (Yesu).

Leo hii wakristo mkiambiwa Papa wa huko vatican kasema ushoga ni sawa tu ,wote mnafuata maana mmeacha kufuata maamrisho ya kitabu chenu mmeanda kufuata kauli za kiongozi wenu. Uislam haupo hivyo hata kama sheikh akisema jambo ambalo ni nje ya Quran na Sunnah ni lazima tusimame tumwambie kuwa hilo halipo katika dini yetu ya uislam. Uislam umekuja kukataza kuwaabudu watu (viongozi).
 
Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.

Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.

Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.

View attachment 2577735
Acha upumbavu, huu ni uchochezi na ubaguzi wa kidini!
 
Sheikh anataka kula maembe mabichi ana weka chumvi au pilipili ya unga. Huyo ni paedophile
 
Leo hii wakristo mkiambiwa Papa wa huko vatican kasema ushoga ni sawa tu ,wote mnafuata maana mmeacha kufuata maamrisho ya kitabu chenu mmeanda kufuata kauli za kiongozi wenu. Uislam haupo hivyo hata kama sheikh akisema jambo ambalo ni nje ya Quran na Sunnah ni lazima tusimame tumwambie kuwa hilo halipo katika dini yetu ya uislam. Uislam umekuja kukataza kuwaabudu watu (viongozi).
Kaka usidhihaki imani ya mtu,
tutajiweka level moja nao! WOTE wanaokashifu dini ya kiislamu your time is coming! Bloodclot keyboard warriors, hasidi hawezagi kuficha husda yake milele itamponyoka tu na hapa tunayajua manguruwee yote.
 
Huwezi tenganisha Saudi Arabia na Uislamu, ile ni nchi ya kiislamu rasmi na ndo kitovu cha uislamu na ndo mana hata kuhiji waislamu wanaenda Saudi Arabia.

Kama ingekuwa Quran imesema mtu aoe au kuolewa akiwa mtoto basi wa kwanza kuzingatia walitakiwa wawe Saudia

Wewe mmanyema unaeenda kuhiji Macca Saudi Arabia kwa nini utake kuoa kitoto kidogo wakati unapoenda kufanya ibadan ya hijja wanatambua umri wa ndoa miaka 18?
jaribu kuwa na elimu angalau kidogo sio umepata zero form four unakuja kupiga kelele.

Hamna ujualo pambana wa udumavu huko kwenu
 
Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.

Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.

Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.

View attachment 2577735
Ukishakubali kuongozwa na dini tu, umekubali ku suspend logic.
 
Kaka usidhihaki imani ya mtu,
tutajiweka level moja nao! WOTE wanaokashifu dini ya kiislamu your time is coming! Bloodclot keyboard warriors, hasidi hawezagi kuficha husda yake milele itamponyoka tu na hapa tunayajua manguruwee yote.
Sijakashifu imani ya mtu ila nimeeleza uhalisia ambao ALLAH ameueleza katika Quran ,kuwa wakristo na mayahudi wanawaabudu viongozi wao (makasisi na Rabbis)
 
Back
Top Bottom