Katumbasongwe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,017
- 1,138
Mnyazimungu ndiyo synonymous with mwenyeziMungu? Just a matter of understanding tu[emoji137][emoji137][emoji137]Acha Madharau Wataandama Sasa Hivi
Unaisema Dini Mnyazimungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyazimungu ndiyo synonymous with mwenyeziMungu? Just a matter of understanding tu[emoji137][emoji137][emoji137]Acha Madharau Wataandama Sasa Hivi
Unaisema Dini Mnyazimungu
Mimi siyo mkatoliki, Lakini ponda anawakilisha fikra za WAISLAMU wengi tanganyika ambao wana chuki na ukathoriki,na wanawachukia wakatoliki kuliko waganga wa kienyeji wanaojifanya masheikh, Catholics,wana mapungufu yao, Lakini siyo kila kitu kinachoamliwa kwenye ulimwengu huu ni from Vatican city of ItalySaudi Arabia si uislamu wala Qur'an. Ponda yupo sahihi kuhusu umri wa binti kuolewa kwa mujibu wa Dini ya kiislam ila hayupo sahihi katika dai la kuwa miaka 18 ni pendekezo la wakatoliki.
Hakuna mahali Biblia imesema Umri wa Maria kushika mimba au kuzaa au kuolewa. USITAFUTE KICHAKA
Pili, Google content zake zinaandikwa na watu... hamna maajabu hapo. Mohamad hawezi kufikia Greatness ya Yesu hata kidogo.
Mwisho kabisa. Huu ni mwaka 2023, hatuwezi kuishi maisha ya karne ya 7 kama mtume aliyeoa mtoto wa miaka 6 miaka 1400 iliyopita.
PELEKENI WATOTO SHULE, Wakikua wakafika umri wa utu uzima 18 years wataolewa. Acheni kutetea Upumbavu.
Hakuna ajuaye umri wa Mary Lakini kama ilivyokuwa wakati wa zamani, inawezekana akiwa msichana ndipo alipomchumbia na Mariam akiwa binti mdogo, like 12-17, but this doesn't justify the early marriage for this generation, things are changing accordingly.Angejua umri alobeba mimba mama ake yesu,asingekurupuka humu.
Sheria ya Dini ipi ambayo wengine wanaivunja? Dini inataka akibalehe, Lakini nowadays at 9, vingine tayari vimebalehe, kwahiyo ni wanawake?Saudia KITOVU cha imani, ila sio KITOVU cha dini. Kuna Dini na Imani vitu viwili tofauti. We ndo punguani anachosema shekhe ponda yuko sahihi kabisa anafuata sheria za dini na mwongozo wa uislamu
Kwahiyo, mnataka tufike huku siyo, kwahiyo Hakuna kwenda shule,hakutakuwa na manesi,waalimu, watumishi wa kike tena,? Maana kwa kizazi hiki ukiwaambia at 13, you are free to be married,drop out from school zitakua nyingi Sana.Saudia KITOVU cha imani, ila sio KITOVU cha dini. Kuna Dini na Imani vitu viwili tofauti. We ndo punguani anachosema shekhe ponda yuko sahihi kabisa anafuata sheria za dini na mwongozo wa uislamu
Kwahiyo unataka kuitenganisha Saudi Arabia na uislam? The late Mohammed na uislam?Mleta uzi huu umekurupuka sema hapa utaelewana. kwa kuwa wewe ufuate alichokiamurisha Mwenyezi Mungu unaona makosa ila shekhe ponda yuko sahihi.
Saudia Arabia ni nchi ya kiarabu ila haitumii sheria za dini ya kiislamu . Na waarabu sio wote waislamu KITOVU cha dini ya uislam sio sahihi kusema saudia Arabia
Kwanini waislam hawaendi hija Zanzibar na Oman ila wanaenda Saud Arabia?Kwanini unalazmisha kuitaja Saudi Arabia katika jambo linalohusu uislamu na Qur'an?
Ama saudi Arabia ni mtume katika uislam?.
Sioni mantiki yoyote ya wewe kuirejea Saudi Arabia katika jambo lolote linalohusu uislamu na Qur'an.
Charity begins at home, Anza na watoto wako,au familia yako,waoze at 6 and 9, ili mayai yasiharibike [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] shetani ana njia za ajabu Sana kujustfy uovu.Mtoto wa kike anapozaliwa anakuwa na mayai kama milioni moja unusu hivi, yanaanza kuharibika kila siku kabla hata haja vunja ungo. Anapofikia umri wa kupata hedhi ya kwanza, teyari zaidi ya 70% ya mayai yanakuwa yameshaharibika. Kumbuka mayai huwa yanatoka manne hata matano kwa mkupuo, halafu moja kubwa ndiyo linapevuka, yaliyobaki yanaharibika (yanamezwa mwilini).
Mwanamke anapofikia miaka kama 22-24, anakuwa na mayai chini ya laki moja. Kimbembe kinakuja anapofika 30, hapo kuna mabadiliko mengi sana yanaanza kutokea, ikiwemo homoni za estrogen kupungua na kusababisha mayai yanayochepuka kupungua kutoka manne hadi moja. Hivyo kupelekea ongezeko kubwa la yai linalopevuka kuwa na matatizo ya kinasaba kadri umri unavyoenda (mayai ni moja ya seli zenye umri mkubwa kwa mwanamke, zinatengenezwa siku chache tuu baada ya mimba kutungwa.
Tukija kwenye sababu za kijamii, si watoto wote wanaopenda kubaki shule, wengine ni bora tuu waolewe wakifika 16 kuliko wabaki mitaani na kuzaa na wanaume wengi, na kusababisha ongezeko la watoto wa mitaani.
Hivi nyie jamaa na watoto kweli?Mtoto wa kike anapozaliwa anakuwa na mayai kama milioni moja unusu hivi, yanaanza kuharibika kila siku kabla hata haja vunja ungo. Anapofikia umri wa kupata hedhi ya kwanza, teyari zaidi ya 70% ya mayai yanakuwa yameshaharibika. Kumbuka mayai huwa yanatoka manne hata matano kwa mkupuo, halafu moja kubwa ndiyo linapevuka, yaliyobaki yanaharibika (yanamezwa mwilini).
Mwanamke anapofikia miaka kama 22-24, anakuwa na mayai chini ya laki moja. Kimbembe kinakuja anapofika 30, hapo kuna mabadiliko mengi sana yanaanza kutokea, ikiwemo homoni za estrogen kupungua na kusababisha mayai yanayochepuka kupungua kutoka manne hadi moja. Hivyo kupelekea ongezeko kubwa la yai linalopevuka kuwa na matatizo ya kinasaba kadri umri unavyoenda (mayai ni moja ya seli zenye umri mkubwa kwa mwanamke, zinatengenezwa siku chache tuu baada ya mimba kutungwa.
Tukija kwenye sababu za kijamii, si watoto wote wanaopenda kubaki shule, wengine ni bora tuu waolewe wakifika 16 kuliko wabaki mitaani na kuzaa na wanaume wengi, na kusababisha ongezeko la watoto wa mitaani.
Sisi? Akina nani mkuu, Elimu kidogo tu [emoji137][emoji137][emoji2532][emoji3601]Ardhi ya sehemu iliyoshushwa quran ni ardhi iliyo ndani ya nchi ya saudi Arabia.
Aya 2. Surat yusufu inasema hivi
﴿إِنَّا أَنزَلْنَاهُ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لَّعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ﴾
[ يوسف: 2]
Hakika Sisi tumemteremshia Mtume wetu haya maneno kwa lugha yenu ya Kiarabu yasomwe na yahifadhiwe, ili muyafahamu, na muwafikishie watu wote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]six years? Are you serious about this [emoji24][emoji1787]Miaka sita inaruhusiwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni wapi kwa Dunia ya Sasa ni Iran, Iraq, Israel, uturuki, Lebanon,be specific ndugu, maana tumefundishwa kwamba Morden Saudi Arabia is a home for Mohammed and burial place in Mecca [emoji137][emoji137][emoji137]Hapo sawa ila haijatajwa saudia arabia
Mtoto hana maamuzi sahihi katikau umri wa miaka 12,13, ni mihemuko tu, every decision she makes ni tamaa za mwili tu, anahitaji mwongozoHunisomi kwa umakini, nimesema "si wote". Wale wanaotaka kuolewa wasizuiliwe.
Al madrasat buguruni kwa mnyamani karibu na kimboka bynight, upuuzi tu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji1787][emoji24][emoji1787]Aiseh biology ya wapi hii?[emoji1787][emoji1787]
Both early age and old age tend to keep women at risks kuzaa,sasa mtoto wa miaka 12, 13,15, iwe rahisi kuliko 30?Nimeshakupa sababu za kibailojia kwa nini umri mkubwa haupo upande wa mwanamke linapokuja suala la kupata mtoto. Hata kiafya mwanamke anapofika 35 huwa anakuwa considered a high risk kupata mimba.
Both early age and old age tend to keep women at risks kuzaa,sasa mtoto wa miaka 12, 13,15, iwe rahisi kuliko 30?
Mtoto hana maamuzi sahihi katikau umri wa miaka 12,13, ni mihemuko tu, every decision she makes ni tamaa za mwili tu, anahitaji mwongozo
Hakuna sehemu nimetaja miaka chini ya 15.Charity begins at home, Anza na watoto wako,au familia yako,waoze at 6 and 9, ili mayai yasiharibike [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] shetani ana njia za ajabu Sana kujustfy uovu.
Sex is for pleasure and reproduction for human beings and for reproduction only for animals![emoji24]
At the moment Qur'an imeshushwa hakukuwa na mipaka na majina haya tuliyonayo miaka hii, Lakini hatuzuii kufanya reference to tress the originality [emoji91]Nakataa kwakuwa kwenye Quran hakuna neno Saudia Arabia
Wewe msimamo wako ni upi ndani ya Nchi hii ambayo ni 50/50, believers and non believers, tutumie Sharia law enforcement hata kwa wasioamini? Qualities of good laws zinasemaje unapotunga Sheria za Nchi?Sheikh ponda karejea uislam kuhusu insu ya umri wa binti kuolewa si Saudi Arabia. nyie mnarejea sheria ya Saudi Arabia kum-attack Ponda..
Kwani yeye ponda hana ufahamu na sheria hiyo?.
Let say hajui ama anajua kuhusu sheria ya Saudi Arabia but what Saud Arabia adds up when it comes to Qur'an and Islam?.
Kwanini hoja zenu msizijenge kwa kutumia uislamu na si Saudi Arabia kama yeye alivyoeleza?.
Saudi Arabia haina nyongeza yoyote katika uislam na Qur'an.
Ponda ana hoja, msikilizeni.msitumie Saudi Arabia kama kichaka cha kukwepa madai yake no matter yupo sahihi ama lah.
Kuwa na watoto wa kike haiondoi ukweli kwamba muda haupo upande wao.