Ni imani ya kiumbavu kutetea ndoa za watoto wa miaka 6 kisa tu kuna mtu mmoja huko Saudi Arabia karne ya 7 alioa mtoto.
kwanini munateseka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni imani ya kiumbavu kutetea ndoa za watoto wa miaka 6 kisa tu kuna mtu mmoja huko Saudi Arabia karne ya 7 alioa mtoto.
Ndiyo maana mizee mizee hapa mjini haitaki shikamoo toka kwa mabinti wadogo kumbe inawaza upuuzi tu,badala ya kuwaza kuwaendeleza mabinti kwenye mambo ya msingi wanawaza kuwaozesha tu,ni upumbavu sanaWaislam Watanzania Wana uchu na uchi wa tuschana tudogo.
Ni wajinga sana, wana maujinga mengi mno.
Ukimwita kiumbe Yesu unamkosea heshima, otherwise kwa sababu wakristu tunamheshimu zaidi ndio unafanya ushabiki. Rejea kwenye kitabu chenu kuhusu yeye ni nabii aliyeandikwa na waliosoma wanamheshimu Sana. Wakristu kwao kitabu Chao hakuna Aya hata Moja iliyomtambua au kumtaja MuhammadNdini ya hajabu ni hile inayo muabudu kiumbe yesu
Fact.Ndugu Amanitwin usiwe na jazba katika masuala usiyofahamu nakupa hoja hapa kulitetea hili na naomba pia waislamu wengine walifanyie utafiti watapata majibu sahihi INSHAALLAH
1:aisha kabla ya kuolewa na mtume alikuwa amechumbiwa na kijana wa familia ingine ambayo hyo familia haikuwa familia ya kiislamu na sababu ya kumkatalia kijana wao asimuoe aisha walisema "aisha alikuwa na misimamo mikali ya dini hivyo angemshawishi kijana wao abadili dini awe muislamu na wao hawakuwa tayari kijana wao awe muislamu" sasa nikuulize swali mtoto wa miaka 6 anapata vipi misimamo ya kuweza kumshawishi kijana kufata imani yake?? Baada ya hizi familia mbili kushindwana hilo suala la imani mtume kwa mara ya pili alipoenda kuulizia tena akaambiwa uchumba wa aisha na yule kijana umeshindwa kuendelea hivyo nafasi hyo ipo wazi,hii inaonesha kuwa binti hakuwa mtoto kwa kuwa hata jamii ya watu wengine walishaanza kupeleka maombi ya kumuoa
2:miaka 2 kabla ya kuolewa na mtume aisha alikuwa na dada yake aitwaye asma alikuwa akimsaidia masuala ya uzazi kipindi asma amejifungua mtoto na asma alikuwa na miaka kati ya 25 na 27 na alikuwa kamzidi mdogo mtu miaka 10(means aisha was 15 or 16)
3:aisha alikuwa mcheza mieleka mzuri tu na mara nyingi wakati akicheza mieleka na mtume ,aisha alimuangusha mtume mara nyingi mno kuliko mtume alivomuangusha aisha(mtoto wa miaka 6 anaweza kumuangusha mtu mzima katika mieleka??
4: pia inasemekana (japo hii sina uhakika nalo sana) kwamba zamani miaka mingi nyuma watu walikuwa wakihesabu umri wa binti baada tu ya binti husika kuvunja ungo,yaani kwa kifupi binti akikaa miaka 12 hajavunja ungo anahesabiwa ana miaka 0 akifikisha mwaka wa 13 akavunja ungo ndiyo anaanza kuhesabiwa kuwa na umri wa mwaka 1 lakin kiuhalisia anakuwa na miaka13( hili ninaendelea kulifanyia utafiti kwenye vitabu mbali mbali ) ndo maana ukichunguza vizuri katika biblia unagundua hata rebeka aliolewa na isack akiwa na miaka 3 (fatilia scholar wa biblia watakuambia) ila vile vile bikra maria pia aliolewa akiwa na kati ya miaka 14 na 16 hilo pia muulize mchungaji wako atakupa maandiko kama anaisoma biblia na kuielewa
Najaribu kutuma video clip hapa ikikubali uiskilize lakin pia next time nitakuja na reference kabisa kurejea niliyoyaandika.asante na karibu kwa hoja zaidi
Hebu tupatie hiyo hadithi kwanza. Kwa maana naona umekaza na sahihi muslim kama kwamba huyo muslim ni nabii au mwanafunzi wa mtumeUnaongea hadithi za kufikirika tu.
Unajaribu kubalance story za kuokoteza za Maria na Rebeka ambazo HAZIPO KWENYE BIBLIA.(nazifahamu sana hizo story zenu)
Sahih Al-Bukhar ilishamaliza hili swala... na inasema wazi Aisha alikuwa anacheza na Midoli wakati akiwa na mtume. Hakuna mtu wa miaka 17 anayecheza na midoli.
Mtume alikuwa PDEOPHILE, Period. Alifanya jambo amabalo hata nyie wenyewe mnaona ni la aibu ndio maana mnahangaika sana kulikana kama wewe unavyofanya hapa.
Mtume alifanya jambo la KISHENZI... Mtu anayejinasibu kama mtume wa Mungu kwenda kulala na katoto ka miaka 9 ni ushenzi tu.
hasipo elewa hapo basii mwacheni😂😂😂Ardhi iliyoshushwa quran tukisema leo twende tukaiangalie ama tuchote mchanga wake tuje nao bongo , je tunaenda nchi gani ? Mji wa makka na madina upo nchi gani ?
Waislam wakienda kujiji Hajj na umra wanaenda nchi gani ?
Waislam wanaposali wanaangalia kibra ambayo ipo nchi gani ?
Tulishakubalina kama taifa, kufunga ndoa na mtoto ni kosa, ibaki hivyotumekubaliana wapi? Mtoto anapovunja ungo tayari ni mtu mzima huyo.
Tulishakubalina kama taifa, kufunga ndoa na mtoto ni kosa, ibaki hivyo
Nilimuamini sana Sheikh Ponda ila kusema kweli leo nimemdharau sana. Kanisikitisha sana!
Hebu tupatie hiyo hadithi kwanza. Kwa maana naona umekaza na sahihi muslim kana kwamba huyo muslim ni nabii au mwanafunzi wa mtume.Mohamad alimuoa aisha akiwa na miaka 6 na akalala naye akiwa na miaka 9.
Ni mambo ya aibu, ila Huo ndio ukweli wa vitabu vyenu mlivyoandika wenyewe.
Usipingane na ukweli mliouandika wenyewe.
Kings James hiyo hiyo iliyoabdikwa na Reverent Scofields amelianda Mungu wa Yesu mwenye jina la Eloi kuwa ni Alah. Au kwa kiarabu ni Allah.Sipendagi haya majadiliano ya kidini na watu wa Imani Tofauti na ya kwangu lakini hapa naomba nikusaidie kwenye Hii Yeremia 8:8
Andiko hili halimaanishi kwamba sijui Sheria au Maandiko ya Mungu yamechakachuliwa au kuwa mtafiti kwanza kabla ya kujiandikia Get it well in the King James version
“How do ye say, We are wise, and the law of the LORD is with us? Lo, certainly in vain made he it; the pen of the scribes is in vain.”
— Jeremiah 8:8 (KJV)
ili kujua andiko Lina maana Gani lazima ujifunze kutembelea Baadhi ya Commentary na different version
Kwamba wewe muislam huijui au unataka tu tuchoshane hapa!??Hebu tupatie hiyo hadithi kwanza. Kwa maana naona umekaza na sahihi muslim kama kwamba huyo muslim ni nabii au mwanafunzi wa mtume
Umepanick. Hii mada haimuhusu Paulo na wala haihusu Alah in the bible.Hebu tupatie hiyo hadithi kwanza. Kwa maana naona umekaza na sahihi muslim kana kwamba huyo muslim ni nabii au mwanafunzi wa mtume.
halafu weye unaejenga hoja hizi hujaolewa, ulianza kuzini ukiwa shule ya msingi. Huwezi kuolewa hadi kwanza mpimane, mzoeane halafu hamtooawa. Bali mtabariki ukinyumba wenu. Mbapata wapi haki kujifanya ni wapiganaji wa mafundisho ya paulo.
Paulo aliyewakaririsha kuwa Mungu mkuu ni yesu.
Wakati yesu mwenyewe kakaririwa akisema mungu wake ni Eloi, kwa tafsiri ya king James Elah kwa kiarabu ni Allah
Huruma sana kwa kweli haya majitu hayafai kuishi na jamii iliyo staarabika.Huko kijijini kuna jitu zima na msuli wake linataka kutoa talaka kwa binti wa miaka 16 na binti ana festula.
Lilimuoa akiwa na miaka 12 limempa na mimba, kumtibu limeshindwa lipo lipo na mandevu yake linasema dini inamruhusu kumrudisha kwa wazazi ajifunze kuishi na mume huku likiwa limepeleka posa kutaka kuoa binti wa miaka 15.
STUPID: IN SAMIA VOICE.
Kabisa mkuuHuruma sana kwa kweli haya majitu hayafai kuishi na jamii iliyo staarabika.
Umepanick. Hii mada haimuhusu Paulo na wala haihusu Alah in the bible.
Turudi kwenye mada. Kwanza Usinichoshe... Wewe ni muislam gani usiyeijua Sahih Al-Bukhar?
Kwamba hadithi ya Aisha na Mohamad huijui na hujui inapatikana wapi?
Sasa nabishana na muislam gani ambaye hata vitu basic kama hivyo havijui?
ACHENI WATOTO WASOME...
Tabia zenu za Kishenzi za kuoa watoto zilizoasisiwa na kiongozi wenu Mohamad kwa Aisha hazina nafasi katika ulimwengu wa leo....
This is 2023 for fucks sake...hatuwezi kuishi kama walivyoishi watu wa karne ya 7 wakati wa Mudi.
Hakuna mahali Biblia imesema Umri wa Maria kushika mimba au kuzaa au kuolewa. USITAFUTE KICHAKAInaonesha wewe ni mpungufu wa elimu na unajiona unajua kumbe mweupe kichwani hebu nikuambie kaangalie maisha ya wazungu au watu wa mashariki ya kati wa karne ya saba walikuwa wakioana kwa umri gani?? Sasa kama unakataa la bikira maria kuolewa akiwa na miaka 14 naomba utupe umri sahihi maria aliolewa akiwa na umri gani?? Sitetei sana hoja ya ndoa za utotoni kwa maana ya utotoni haswa ila natetea huo umri ambao mumeamua kuuita utoto wakat kiuhalisia sio umri wa utoto
Nimekuuliza hapo juu kwa umri huo wa miaka 6 je mtoto mdogo angeweza kufanya yote niliyoandika hapo juu?? Jibu kwa hoja ndugu yangu .mpaka sasa hiv tunavoandika hapa uingereza sheria yao inasema mtoto wa kike anafaa kuolewa akiwa na miaka 16 je shehe ponda kusema 14 mbona imekuuma sana?? So matusi yoote hapo ya kutukana mtume kisa hyo difference ya miaka 2? Je umesikiliza hotuba ya kabudi vizuri?? Je yule nae ni muislamu mroho mwenye kutamani uchi wa watoto??
Pia ufahamu watu wa zamani walikuwa na maumbo tofauti na sisi , kama unaamizi baadhi ya manabii waliishi zaidi ya miaka 200 kwa nin usiamini kuwa hata umri wao wa mabadiliko ya kimwili haupo kama sisi??
Lakini swali la mwisho naomba pia nikutoe nje ya mada.ukigoogle hapo dini inayokuwa kwa kasi duniani kwa sasa ni uislamu na wengi wanaosilimu ni wazungu ambao hawakuupenda uislamu kama wewe ulivo sasa, wamefanya utafiti wakajua mtume hakuwa mshenzi wa tabia na vitu vingi alisingiziwa,hivi Mtume mohammad (pbuh) angekuwa mshenzi wa tabia kama unavodai unafkiri mamilioni ya wazungu wangebadili dini na kumfata?? Kwa hyo wewe unawazidi wazungu ambao wanasoma na kutafiti mambo??
Cha mwisho pia nenda google andika hivi
"The greatest human being of all time to live on the planet"
Utawaona wengi sana ila namba 1 ni huyo huyo mtume uliemtukana hapa kwa kukosa ufahamu.kumbuka google sio ya mtume na aliyeandika hapo sio mwisilamu ila kaona mtume ana vigezo na hakuna andiko lenye fact lililotolewa kupinga hilo.mwisho naomba ujue MTUME HAKUWA MSHENZI WA TABIA KAMA UNAVOAMINISHA WATU HAPA NA WEWE NI MWEUPE KICHWANI ,KASOME TENA VITABU MBALI MBALI UPANUE UBONGO WAKO
Kumbe umejaririshwa na kibwetere. Haya ngoja nipigilie msumari hapo hapo.Umepanick. Hii mada haimuhusu Paulo na wala haihusu Alah in the bible.
Turudi kwenye mada. Kwanza Usinichoshe... Wewe ni muislam gani usiyeijua Sahih Al-Bukhar?
Kwamba hadithi ya Aisha na Mohamad huijui na hujui inapatikana wapi?
Sasa nabishana na muislam gani ambaye hata vitu basic kama hivyo havijui?
ACHENI WATOTO WASOME...
Tabia zenu za Kishenzi za kuoa watoto zilizoasisiwa na kiongozi wenu Mohamad kwa Aisha hazina nafasi katika ulimwengu wa leo....
This is 2023 for fucks sake...hatuwezi kuishi kama walivyoishi watu wa karne ya 7 wakati wa Mudi.
lakini watoto wenu wanapochezewa na maboda boda ni sahihi as long a hajamuoa au sio?