Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Saudi Arabia si uislamu wala Qur'an. Ponda yupo sahihi kuhusu umri wa binti kuolewa kwa mujibu wa Dini ya kiislam ila hayupo sahihi katika dai la kuwa miaka 18 ni pendekezo la wakatoliki.
Mimi siyo mkatoliki, Lakini ponda anawakilisha fikra za WAISLAMU wengi tanganyika ambao wana chuki na ukathoriki,na wanawachukia wakatoliki kuliko waganga wa kienyeji wanaojifanya masheikh, Catholics,wana mapungufu yao, Lakini siyo kila kitu kinachoamliwa kwenye ulimwengu huu ni from Vatican city of Italy
 

Ndugu yangu mie naezungumza na wewe hapa watoto nasomesha tena shule za kueleweka tu kwa sababu najua umuhimu wa elimu, nachotaka uache kutukana mila za watu au dini za watu na ulete hoja za kueleweka,pia uelewe shehe ponda hajasema kuwa ni lazima mtoto akifikisha umri huo kuolewa ,kama bado anaimudu shule aendelee hadi atakapomaliza ila ikitokea shule haimudu kwa namna yoyote ili kusitokee uharibifu mtaani kuongeza watoto wa zinaa mitaani bas na aolewe iwapo amepata mchumba wakaridhiana,penye mapungufu nirekebishe kwa lugha ya kistaarabu mkuu wangu ila kuna mengi nakuuliza unayakwepa na hayo mengi juu hoja hauzijibu inavyotakiwa. Be wise
 
Angejua umri alobeba mimba mama ake yesu,asingekurupuka humu.
Hakuna ajuaye umri wa Mary Lakini kama ilivyokuwa wakati wa zamani, inawezekana akiwa msichana ndipo alipomchumbia na Mariam akiwa binti mdogo, like 12-17, but this doesn't justify the early marriage for this generation, things are changing accordingly.
Siyo sheria za kimungu, we can decide, kwamba under 18, Ni mtoto,ichukuliwe hivyo.
 
Saudia KITOVU cha imani, ila sio KITOVU cha dini. Kuna Dini na Imani vitu viwili tofauti. We ndo punguani anachosema shekhe ponda yuko sahihi kabisa anafuata sheria za dini na mwongozo wa uislamu
Sheria ya Dini ipi ambayo wengine wanaivunja? Dini inataka akibalehe, Lakini nowadays at 9, vingine tayari vimebalehe, kwahiyo ni wanawake?
 
Saudia KITOVU cha imani, ila sio KITOVU cha dini. Kuna Dini na Imani vitu viwili tofauti. We ndo punguani anachosema shekhe ponda yuko sahihi kabisa anafuata sheria za dini na mwongozo wa uislamu
Kwahiyo, mnataka tufike huku siyo, kwahiyo Hakuna kwenda shule,hakutakuwa na manesi,waalimu, watumishi wa kike tena,? Maana kwa kizazi hiki ukiwaambia at 13, you are free to be married,drop out from school zitakua nyingi Sana.
Why do you always tend to be keen on petty things, when it comes to implement the God's laws? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwahiyo unataka kuitenganisha Saudi Arabia na uislam? The late Mohammed na uislam?
Even though Israel siyo wakristo, Lakini kwa kuwa ndiyo nchi aliyotokea KRISTO, ndiyo maana tunaiombea ardhi ya maagano.[emoji2322][emoji2322], Kama huko huko wameweza kuona kuwa kwa kufanya hivyo hawatii doa Imani why sisi watoto wetu wafe kwa ajili ya uzazi!? Maana hata watu wazima ni changamoto!
 
Kwanini unalazmisha kuitaja Saudi Arabia katika jambo linalohusu uislamu na Qur'an?

Ama saudi Arabia ni mtume katika uislam?.

Sioni mantiki yoyote ya wewe kuirejea Saudi Arabia katika jambo lolote linalohusu uislamu na Qur'an.
Kwanini waislam hawaendi hija Zanzibar na Oman ila wanaenda Saud Arabia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Charity begins at home, Anza na watoto wako,au familia yako,waoze at 6 and 9, ili mayai yasiharibike [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] shetani ana njia za ajabu Sana kujustfy uovu.
Sex is for pleasure and reproduction for human beings and for reproduction only for animals![emoji24]
 
Hivi nyie jamaa na watoto kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi? Akina nani mkuu, Elimu kidogo tu [emoji137][emoji137][emoji2532]‍[emoji3601]
 
Hapo sawa ila haijatajwa saudia arabia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni wapi kwa Dunia ya Sasa ni Iran, Iraq, Israel, uturuki, Lebanon,be specific ndugu, maana tumefundishwa kwamba Morden Saudi Arabia is a home for Mohammed and burial place in Mecca [emoji137][emoji137][emoji137]
 
Hunisomi kwa umakini, nimesema "si wote". Wale wanaotaka kuolewa wasizuiliwe.
Mtoto hana maamuzi sahihi katikau umri wa miaka 12,13, ni mihemuko tu, every decision she makes ni tamaa za mwili tu, anahitaji mwongozo
 
Nimeshakupa sababu za kibailojia kwa nini umri mkubwa haupo upande wa mwanamke linapokuja suala la kupata mtoto. Hata kiafya mwanamke anapofika 35 huwa anakuwa considered a high risk kupata mimba.
Both early age and old age tend to keep women at risks kuzaa,sasa mtoto wa miaka 12, 13,15, iwe rahisi kuliko 30?
 
Both early age and old age tend to keep women at risks kuzaa,sasa mtoto wa miaka 12, 13,15, iwe rahisi kuliko 30?
Mtoto hana maamuzi sahihi katikau umri wa miaka 12,13, ni mihemuko tu, every decision she makes ni tamaa za mwili tu, anahitaji mwongozo
Hakuna sehemu nimetaja miaka chini ya 15.
 
Wewe msimamo wako ni upi ndani ya Nchi hii ambayo ni 50/50, believers and non believers, tutumie Sharia law enforcement hata kwa wasioamini? Qualities of good laws zinasemaje unapotunga Sheria za Nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…