antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hahaha..
Umeulizwa Saudia Arabia iko na wakristo au hakuna jibu hilo swali? Afu sheria za dini sio saudia Arabia. Kwenye Qur'an hakuna sehemu inatabanaisha umri wa mwanamke kuolewa. Binti anapovunja ungo tiyari ashakuwa mkubwa. Afu kuna mtoto kasema (Sunn) kwenye uislamu hakuna dhehebu.Nenda kasome Quran 42 : 7 utakutana na hii aya kuhusu Makka. Je ardhi ya makka haipo saudi arabia ?
Na namna hii tumekufunulia Qur-an kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uwaonye siku ya mkutano, siku isiyo na shaka. Kundi moja litakuwa Peponi na kundi jingine Motoni "
Pia nenda kasome aya 28 : 44 pia imeitaja makka
Halafu hakuna Quran iliyoshushwa ni porojo porojo tuTunajenga hoja sababu Quran imeshushwa katika ardhi ya saudi arabia.
Na kuna ushahidi wa verse za quran zimesema hilo.
Kwa iyo Saudi Arabia kitovu cha Uislamu wanaposema umri wa ndoa ni miaka 18 unataka kusema hawajasoma Quran? Acha kuficha ubazazi wako kwenye dini wewe!!Umeulizwa Saudia Arabia iko na wakristo au hakuna jibu hilo swali? Afu sheria za dini sio saudia Arabia. Kwenye Qur'an hakuna sehemu inatabanaisha umri wa mwanamke kuolewa. Binti anapovunja ungo tiyari ashakuwa mkubwa. Afu kuna mtoto kasema (Sunn) kwenye uislamu hakuna dhehebu.
Huu ndiyo usomi, unajibu Kwa hoja yenye mashiko na authority kabisa. Anatafuta pa kutokea hapaoni.Inaitwa Makka.
Je Makka ipo nchi gani ?
Nenda kasome Quran 42 : 7 utakutana na hii aya kuhusu Makka. Je ardhi ya makka haipo saudi arabia ?
Na namna hii tumekufunulia Qur-an kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uwaonye siku ya mkutano, siku isiyo na shaka. Kundi moja litakuwa Peponi na kundi jingine Motoni "
Ameishia kulalama tuHuu ndiyo usomi, unajibu Kwa hoja yenye mashiko na authority kabisa. Anatafuta pa kutokea hapaoni.
Hata Bibi FaizaFoxy anaridhia mjukuu wake wa miaka 14 aolewe.Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.
Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.
Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.
View attachment 2577735
Umeulizwa Saudia Arabia iko na wakristo au hakuna jibu hilo swali? Afu sheria za dini sio saudia Arabia. Kwenye Qur'an hakuna sehemu inatabanaisha umri wa mwanamke kuolewa. Binti anapovunja ungo tiyari ashakuwa mkubwa. Afu kuna mtoto kasema (Sunn) kwenye uislamu hakuna dhehebu.
Nani kakufundisha hayo?
Nakwambia tena! Acha kuficha ubazazi wako kwenye dini?
Kwan Saudia ndo mwenye QURAN?!Sema wewe inasemaje? wewe unajua Quran kuliko wa Saudi Arabia?
Unaenda kuhiji wapi? Mungu alishusha Quran wapi?Kwan Saudia ndo mwenye QURAN?!
QURAN wameshushiwa waislam sio WasaudiaUnaenda kuhiji wapi? Mungu alishusha Quran wapi?
Na wewe utadharaulika km unampinga wakati sio Muislam ila utakuwa sahihi kupinga km wewe ni Muislamu na unaujua misingi yake hasa ktk ndoa.Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.
Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.
Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.
View attachment 2577735
vibamiaWaislam Watanzania Wana uchu na uchi wa tuschana tudogo.
Ni wajinga sana, wana maujinga mengi mno.