Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Huyu shehe a natakiwa atiwe mbaroni kama a nataka tubint vyake violew na huo umri Sawa lakini wa kwangu mwiko
 
Yan katka watu ambao hawana akili pamoja na wewe we unadhan saudia ndo uislam. Din ya kiislam inasimama yenyewe kama yenyewe hakuna cha msaudia wala nan mtume amemuowa A'isha akiwa na umr wa miaka 7 na kuanza rasim kuishi nae kindoa akiwa miaka 9 peleka mbele uko upuuzi wako
 
Nenda kasome Quran 42 : 7 utakutana na hii aya kuhusu Makka. Je ardhi ya makka haipo saudi arabia ?

Na namna hii tumekufunulia Qur-an kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uwaonye siku ya mkutano, siku isiyo na shaka. Kundi moja litakuwa Peponi na kundi jingine Motoni "

Pia nenda kasome aya 28 : 44 pia imeitaja makka
Umeulizwa Saudia Arabia iko na wakristo au hakuna jibu hilo swali? Afu sheria za dini sio saudia Arabia. Kwenye Qur'an hakuna sehemu inatabanaisha umri wa mwanamke kuolewa. Binti anapovunja ungo tiyari ashakuwa mkubwa. Afu kuna mtoto kasema (Sunn) kwenye uislamu hakuna dhehebu.
 
Kwa iyo Saudi Arabia kitovu cha Uislamu wanaposema umri wa ndoa ni miaka 18 unataka kusema hawajasoma Quran? Acha kuficha ubazazi wako kwenye dini wewe!!
 
Inaitwa Makka.

Je Makka ipo nchi gani ?

Nenda kasome Quran 42 : 7 utakutana na hii aya kuhusu Makka. Je ardhi ya makka haipo saudi arabia ?

Na namna hii tumekufunulia Qur-an kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uwaonye siku ya mkutano, siku isiyo na shaka. Kundi moja litakuwa Peponi na kundi jingine Motoni "
Huu ndiyo usomi, unajibu Kwa hoja yenye mashiko na authority kabisa. Anatafuta pa kutokea hapaoni.
 
Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.

Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.

Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.

View attachment 2577735
Hata Bibi FaizaFoxy anaridhia mjukuu wake wa miaka 14 aolewe.
 
Umeulizwa Saudia Arabia iko na wakristo au hakuna jibu hilo swali? Afu sheria za dini sio saudia Arabia. Kwenye Qur'an hakuna sehemu inatabanaisha umri wa mwanamke kuolewa. Binti anapovunja ungo tiyari ashakuwa mkubwa. Afu kuna mtoto kasema (Sunn) kwenye uislamu hakuna dhehebu.

Nimekujibu sijui kama kuna raia wa saudi arabia ambao ni wakristo na wanaishi katika nchi ya saudi arabia now. Ila kwa raia wa nchi za kigeni lazima wakristo wawepo. Maana kuna wazungu wakristo wanaishi saudi arabia kama exparts

Hilo swali lako haliondoi hoja yangu kama Quran imeshushwa katika ardhi ya saudi arabia. Tena kwa lugha ya raia wa nchi ya saudi arabia

Na nimekuwekee aya za quran kuthibitisha hilo
 
Nani kakufundisha hayo?

Nakwambia tena! Acha kuficha ubazazi wako kwenye dini?
fer.png

Fertility ya mwanamke inapungua sana baada ya miaka 30, wenzetu huwa hawana muda mrefu sana wa kupata watoto, hivyo kadiri wanavyochelewa kupata watoto, ndivyo chances za kupata watoto wenye afya hupungua.
 
Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.

Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.

Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.

View attachment 2577735
Na wewe utadharaulika km unampinga wakati sio Muislam ila utakuwa sahihi kupinga km wewe ni Muislamu na unaujua misingi yake hasa ktk ndoa.
 
Back
Top Bottom