Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #21
Huo umri umeandikwa wapi?Angejua umri alobeba mimba mama ake yesu,asingekurupuka humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo umri umeandikwa wapi?Angejua umri alobeba mimba mama ake yesu,asingekurupuka humu.
Kwa hiyo unataka kusema Saudi Arabia hawafuati uislamu? Achaga ukapukuSaudi Arabia si uislamu wala Qur'an. Ponda yupo sahihi kuhusu umri wa binti kuolewa kwa mujibu wa Dini ya kiislam ila hayupo sahihi katika dai la kuwa miaka 18 ni pendekezo la wakatoliki.
Kwanini unalazmisha kuitaja Saudi Arabia katika jambo linalohusu uislamu na Qur'an?Kwa hiyo unataka kusema Saudi Arabia hawafuati uislamu? Achaga ukapuku
mambo ya umri sheria ya dini haijakomeleza sana katika kuhukumu mambo, kinachoangaliwa ni balehe. umri ulitajwa kwa baadhi tu ya sehemu/mambo kama kwenye swala kwamba wafundishwe watoto kuswali katika 7 na wapigwe wakiacha kuswali katika 10Je, quran inasemaje kuhusu Umri wa ndoa kwa mtoto wa kike?
Huwezi tenganisha Saudi Arabia na Uislamu, ile ni nchi ya kiislamu rasmi na ndo kitovu cha uislamu na ndo mana hata kuhiji waislamu wanaenda Saudi Arabia.Kwanini unalazmisha kuitaja Saudi Arabia katika jambo linalohusu uislamu na Qur'an?.
Ama saudi Arabia ni mtume katika uislam?.
Sioni mantiki yoyote ya wewe kuirejea Saudi Arabia katika jambo lolote linalohusu uislamu na Qur'an.
Acheni kuficha ubazazi wenu kwenye dini?Saudia KITOVU cha imani, ila sio KITOVU cha dini. Kuna Dini na Imani vitu viwili tofauti. We ndo punguani anachosema shekhe ponda yuko sahihi kabisa anafuata sheria za dini na mwongozo wa uislamu
Kwanini unalazmisha kuitaja Saudi Arabia katika jambo linalohusu uislamu na Qur'an?.
Ama saudi Arabia ni mtume katika uislam?.
Sioni mantiki yoyote ya wewe kuirejea Saudi Arabia katika jambo lolote linalohusu uislamu na Qur'an.
🤣🤣🤣Wanataka kuoa tutoto twenye miaka 6,lol si hatari hii,Wana uchu mbaya sana 😅 sisiWaislam Watanzania Wana uchu na uchi wa tuschana tudogo.
Ni wajinga sana, wana maujinga mengi mno.
Muhuni na bazazi tu huyu! Hana lolote na hajui lolote kuhusu uislamu. Eti anajifanya yeye muislamu kuliko Wasaudi Arabia?? Chizi kabisa huyuHiyo quran yenyewe imeandikwa walishushiwa watu waliokuwa wanaishi saudi arabia. Tena kwa lugha yao kabisa ili waielewe..
Wewe mswahili na Quran wapi na wapi huku hata kuisoma unatumia lugha ya wa saudi arabia walioshushiwa quran kwenye ardhi yao
Wewe Ni team LGBT kwhy achana na uislamuWaislam Watanzania Wana uchu na uchi wa tuschana tudogo.
Ni wajinga sana, wana maujinga mengi mno.
Wewe tulia upate elimu naomba upate maarifa kijana acha kupayuka. Imani na dini vitu viwili tofauti. Saudia Arabia imeandikwa wapi kwenye Quran kusema kitovu cha dini? Ila kwakuwa kibra iko makka ndo maana Saudia ikapata sifa hiyo.Acheni kuficha ubazazi wenu kwenye dini?
Sasa kuna tofauti gani ya dini ya kiislamu ya imani ya uislamu? Wewe muhuni wa sitimbi huko unajifanya unajua dini/imani ya kiislamu kuliko Wa Saudi Arabia? Acha ujinga wako hapa
Omba usipate mtoto wa kike halafu aanze kumeza mashine akiwa mdogo nadhani nawe hutaamini pia 😅😅 karmaVitoto vidogo vinameza mashine hutaamini...
ndiyo, ile ni nchi ya kiislam kama Maulid Tangaza alivyo muislam but hatuwezi mchukulia Maulid tangaza kama rejea ya uislam.Huwezi tenganisha Saudi Arabia na Uislamu, ile ni nchi ya kiislamu rasmi na ndo kitovu cha uislamu na ndo mana hata kuhiji waislamu wanaenda Saudi Arabia.
Kama ingekuwa Quran imesema mtu aoe au kuolewa akiwa mtoto basi wa kwanza kuzingatia walitakiwa wawe Saudia
Wewe mmanyema unaeenda kuhiji Macca Saudi Arabia kwa nini utake kuoa kitoto kidogo wakati unapoenda kufanya ibadan ya hijja wanatambua umri wa ndoa miaka 18?
Hivi unaelewa hata ulichoandika?Mleta uzi huu umekurupuka sema hapa utaelewana. kwa kuwa wewe ufuate alichokiamurisha Mwenyezi Mungu unaona makosa ila shekhe ponda yuko sahihi.
Saudia Arabia ni nchi ya kiarabu ila haitumii sheria za dini ya kiislamu . Na waarabu sio wote waislamu KITOVU cha dini ya uislam sio sahihi kusema saudia Arabia
Aya gani imesema saudia arabiaHiyo quran yenyewe kuna aya kabisa imeandikwa kwamba walishushiwa quran watu waliokuwa wanaishi saudi arabia. Tena kwa lugha yao kabisa ili waielewe..
Wewe mswahili na Quran wapi na wapi huku hata kuisoma unatumia lugha ya wa saudi arabia walioshushiwa quran kwenye ardhi yao.
Waliokuletea dini ya kiislam na kushushiwa Quran wanasema ndoa miaka 18. Wewe mswahili unabisha kwa kisingizio za kuijua dini
Wamepindisha mambo gani? Yaani unajisikiliza wewe mtu? Nchi inayojitambulisha rasmi kama ya kiislamu unasema inapindisha uislamu??? Wewe nani?ndiyo, ile ni nchi ya kiislam kama Maulid Tangaza alivyo muislam but hatuwezi mchukulia Maulid tangaza kama rejea ya uislam.
Uislam unajirejea wenyewe, haujirejia kwa mtu ama nchi even though ni nchi ya kiislam.
Saud Arabia mambo mengi tu wamepindisha, ila Qur'an haijapindisha chochote.
Maagizo yake yamebaki kuwa yale yale hadi leo.
Nb.
Mbona hujaidharu Saudi Arabi kwa insu Christian Ronaldo na kumsifu Sheikh Ponda?.
Mtoto wa kike anapozaliwa anakuwa na mayai kama milioni moja unusu hivi, yanaanza kuharibika kila siku kabla hata haja vunja ungo. Anapofikia umri wa kupata hedhi ya kwanza, teyari zaidi ya 70% ya mayai yanakuwa yameshaharibika. Kumbuka mayai huwa yanatoka manne hata matano kwa mkupuo, halafu moja kubwa ndiyo linapevuka, yaliyobaki yanaharibika (yanamezwa mwilini).Umesoma wapi iyo biology? Usikute ulikimbia umande huko unaleta maneno eti kibaiolojia! Muhuni tu wewe
Haya me mjinga siku ukipata maarifa utaelewa nilichokiandikaHivi unaelewa hata ulichoandika?
Kwa hiyo wewe ni muislamu na hujui kuwa Saudi Arabia ni nchi rasmi ya kiislamu??
kumbe najaribu kumuelewesha mjinga humu