Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Kwa hiyo unataka kusema Saudi Arabia hawafuati uislamu? Achaga ukapuku
Kwanini unalazmisha kuitaja Saudi Arabia katika jambo linalohusu uislamu na Qur'an?

Ama saudi Arabia ni mtume katika uislam?.

Sioni mantiki yoyote ya wewe kuirejea Saudi Arabia katika jambo lolote linalohusu uislamu na Qur'an.
 
Kwanini unalazmisha kuitaja Saudi Arabia katika jambo linalohusu uislamu na Qur'an?.

Huwezi tenganisha Saudi Arabia na Uislamu, ile ni nchi ya kiislamu rasmi na ndo kitovu cha uislamu na ndo mana hata kuhiji waislamu wanaenda Saudi Arabia.

Kama ingekuwa Quran imesema mtu aoe au kuolewa akiwa mtoto basi wa kwanza kuzingatia walitakiwa wawe Saudia

Wewe mmanyema unaeenda kuhiji Macca Saudi Arabia kwa nini utake kuoa kitoto kidogo wakati unapoenda kufanya ibadan ya hijja wanatambua umri wa ndoa miaka 18?
 
Saudia KITOVU cha imani, ila sio KITOVU cha dini. Kuna Dini na Imani vitu viwili tofauti. We ndo punguani anachosema shekhe ponda yuko sahihi kabisa anafuata sheria za dini na mwongozo wa uislamu
 
Acheni kuficha ubazazi wenu kwenye dini?

Sasa kuna tofauti gani ya dini ya kiislamu ya imani ya uislamu? Wewe muhuni wa sitimbi huko unajifanya unajua dini/imani ya kiislamu kuliko Wa Saudi Arabia? Acha ujinga wako hapa
 
Kwanini unalazmisha kuitaja Saudi Arabia katika jambo linalohusu uislamu na Qur'an?.
Ama saudi Arabia ni mtume katika uislam?.

Sioni mantiki yoyote ya wewe kuirejea Saudi Arabia katika jambo lolote linalohusu uislamu na Qur'an.

Hiyo quran yenyewe kuna aya kabisa imeandikwa kwamba walishushiwa quran watu waliokuwa wanaishi saudi arabia. Tena kwa lugha yao kabisa ili waielewe..

Wewe mswahili na Quran wapi na wapi huku hata kuisoma unatumia lugha ya wa saudi arabia walioshushiwa quran kwenye ardhi yao.

Waliokuletea dini ya kiislam na kushushiwa Quran wanasema ndoa miaka 18. Wewe mswahili unabisha kwa kisingizio cha kuijua dini
 
Mleta uzi huu umekurupuka sema hapa utaelewana. kwa kuwa wewe ufuate alichokiamurisha Mwenyezi Mungu unaona makosa ila shekhe ponda yuko sahihi.

Saudia Arabia ni nchi ya kiarabu ila haitumii sheria za dini ya kiislamu . Na waarabu sio wote waislamu KITOVU cha dini ya uislam sio sahihi kusema saudia Arabia
 
Hiyo quran yenyewe imeandikwa walishushiwa watu waliokuwa wanaishi saudi arabia. Tena kwa lugha yao kabisa ili waielewe..

Wewe mswahili na Quran wapi na wapi huku hata kuisoma unatumia lugha ya wa saudi arabia walioshushiwa quran kwenye ardhi yao
Muhuni na bazazi tu huyu! Hana lolote na hajui lolote kuhusu uislamu. Eti anajifanya yeye muislamu kuliko Wasaudi Arabia?? Chizi kabisa huyu
 
Acheni kuficha ubazazi wenu kwenye dini?

Sasa kuna tofauti gani ya dini ya kiislamu ya imani ya uislamu? Wewe muhuni wa sitimbi huko unajifanya unajua dini/imani ya kiislamu kuliko Wa Saudi Arabia? Acha ujinga wako hapa
Wewe tulia upate elimu naomba upate maarifa kijana acha kupayuka. Imani na dini vitu viwili tofauti. Saudia Arabia imeandikwa wapi kwenye Quran kusema kitovu cha dini? Ila kwakuwa kibra iko makka ndo maana Saudia ikapata sifa hiyo.
 
Huwezi tenganisha Saudi Arabia na Uislamu, ile ni nchi ya kiislamu rasmi na ndo kitovu cha uislamu na ndo mana hata kuhiji waislamu wanaenda Saudi Arabia.

Kama ingekuwa Quran imesema mtu aoe au kuolewa akiwa mtoto basi wa kwanza kuzingatia walitakiwa wawe Saudia

Wewe mmanyema unaeenda kuhiji Macca Saudi Arabia kwa nini utake kuoa kitoto kidogo wakati unapoenda kufanya ibadan ya hijja wanatambua umri wa ndoa miaka 18?
ndiyo, ile ni nchi ya kiislam kama Maulid Tangaza alivyo muislam but hatuwezi mchukulia Maulid tangaza kama rejea ya uislam.
Uislam unajirejea wenyewe, haujirejia kwa mtu ama nchi even though ni nchi ya kiislam.
Saud Arabia mambo mengi tu wamepindisha, ila Qur'an haijapindisha chochote.
Maagizo yake yamebaki kuwa yale yale hadi leo.
Nb.
Mbona hujaidharu Saudi Arabi kwa insu Christian Ronaldo na kumsifu Sheikh Ponda?.
 
Mleta uzi huu umekurupuka sema hapa utaelewana. kwa kuwa wewe ufuate alichokiamurisha Mwenyezi Mungu unaona makosa ila shekhe ponda yuko sahihi.

Saudia Arabia ni nchi ya kiarabu ila haitumii sheria za dini ya kiislamu . Na waarabu sio wote waislamu KITOVU cha dini ya uislam sio sahihi kusema saudia Arabia
Hivi unaelewa hata ulichoandika?

Kwa hiyo wewe ni muislamu na hujui kuwa Saudi Arabia ni nchi rasmi ya kiislamu??

kumbe najaribu kumuelewesha mjinga humu
 
Hiyo quran yenyewe kuna aya kabisa imeandikwa kwamba walishushiwa quran watu waliokuwa wanaishi saudi arabia. Tena kwa lugha yao kabisa ili waielewe..

Wewe mswahili na Quran wapi na wapi huku hata kuisoma unatumia lugha ya wa saudi arabia walioshushiwa quran kwenye ardhi yao.

Waliokuletea dini ya kiislam na kushushiwa Quran wanasema ndoa miaka 18. Wewe mswahili unabisha kwa kisingizio za kuijua dini
Aya gani imesema saudia arabia
 
ndiyo, ile ni nchi ya kiislam kama Maulid Tangaza alivyo muislam but hatuwezi mchukulia Maulid tangaza kama rejea ya uislam.
Uislam unajirejea wenyewe, haujirejia kwa mtu ama nchi even though ni nchi ya kiislam.
Saud Arabia mambo mengi tu wamepindisha, ila Qur'an haijapindisha chochote.
Maagizo yake yamebaki kuwa yale yale hadi leo.
Nb.
Mbona hujaidharu Saudi Arabi kwa insu Christian Ronaldo na kumsifu Sheikh Ponda?.
Wamepindisha mambo gani? Yaani unajisikiliza wewe mtu? Nchi inayojitambulisha rasmi kama ya kiislamu unasema inapindisha uislamu??? Wewe nani?
 
Umesoma wapi iyo biology? Usikute ulikimbia umande huko unaleta maneno eti kibaiolojia! Muhuni tu wewe
Mtoto wa kike anapozaliwa anakuwa na mayai kama milioni moja unusu hivi, yanaanza kuharibika kila siku kabla hata haja vunja ungo. Anapofikia umri wa kupata hedhi ya kwanza, teyari zaidi ya 70% ya mayai yanakuwa yameshaharibika. Kumbuka mayai huwa yanatoka manne hata matano kwa mkupuo, halafu moja kubwa ndiyo linapevuka, yaliyobaki yanaharibika (yanamezwa mwilini).

Mwanamke anapofikia miaka kama 22-24, anakuwa na mayai chini ya laki moja. Kimbembe kinakuja anapofika 30, hapo kuna mabadiliko mengi sana yanaanza kutokea, ikiwemo homoni za estrogen kupungua na kusababisha mayai yanayochepuka kupungua kutoka manne hadi moja. Hivyo kupelekea ongezeko kubwa la yai linalopevuka kuwa na matatizo ya kinasaba kadri umri unavyoenda (mayai ni moja ya seli zenye umri mkubwa kwa mwanamke, zinatengenezwa siku chache tuu baada ya mimba kutungwa.

Tukija kwenye sababu za kijamii, si watoto wote wanaopenda kubaki shule, wengine ni bora tuu waolewe wakifika 16 kuliko wabaki mitaani na kuzaa na wanaume wengi, na kusababisha ongezeko la watoto wa mitaani.
 
Back
Top Bottom