Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Aya gani imesema saudia arabia

Ardhi ya sehemu iliyoshushwa quran ni ardhi iliyo ndani ya nchi ya saudi Arabia.

Aya 2. Surat yusufu inasema hivi

﴿إِنَّا أَنزَلْنَاهُ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لَّعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ﴾
[ يوسف: 2]

Hakika Sisi tumemteremshia Mtume wetu haya maneno kwa lugha yenu ya Kiarabu yasomwe na yahifadhiwe, ili muyafahamu, na muwafikishie watu wote.
 
Hapo sawa ila haijatajwa saudia arabia
 
Mtoto wa kike anapozaliwa anakuwa na mayai kama milioni moja unusu hivi, yanaanza kuharibika kila siku kabla hata haja vunja ungo.
Anapofikia umri wa kupata hedhi ya kwanza, teyari zaidi ya 70% ya mayai yanakuwa yameshaharibika. Kumbuka mayai huwa yanatoka manne hata matano kwa mkupuo, halafu moja kubwa ndiyo linapevuka, yaliyobaki yanaharibika (yanamezwa mwilini).

Mwanamke anapofikia miaka kama 22-24, anakuwa na mayai chini ya laki moja. Kimbembe kinakuja anapofika 30, hapo kuna mabadiliko mengi sana yanaanza kutokea, ikiwemo homoni za estrogen kupungua na kusababisha mayai yanayochepuka kupungua kutoka manne hadi moja. Hivyo kupelekea ongezeko kubwa la yai linalopevuka kuwa na matatizo ya kinasaba kadri umri unavyoenda (mayai ndiyo seli zenye umri mkubwa kuliko zote kwa mwanamke, zinatengenezwa siku chache tuu baada ya mimba kutungwa.

Tukija kwenye sababu za kijamii, si watoto wote wanaopenda kubaki shule, wengine ni bora tuu waolewe wakifika 16 kuliko wabaki mitaani na kuzaa na wanaume wengi, na kusababisha ongezeko la watoto wa mitaani.
Unasikitisha sana

Nani kakwambia wote wanaobaki nyumbani wanazaa wakiwa na umri mdogo?

Alafu wapi imeandikwa kuwa kama mtoto haendelei na shule basi aolewe??

Hizo akili za nzi umezitoa wapi?
 
Ardhi ya sehemu iliyoshushwa quran ni ardhi iliyo ndani ya nchi ya saudi Arabia.

Aya 2. Surat yusufu inasema hivi

﴿إِنَّا أَنزَلْنَاهُ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لَّعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ﴾
[ يوسف: 2]

Hakika Sisi tumemteremshia Mtume wetu haya maneno kwa lugha yenu ya Kiarabu yasomwe na yahifadhiwe, ili muyafahamu, na muwafikishie watu wote.
Inaitwaje hiyo sehemu
 
Unasikitisha sana

Nani kakwambia wote wanaobaki nyumbani wanazaa wakiwa na umri mdogo?

Alafu wapi imeandikwa kuwa kama mtoto haendelei na shule basi aolewe??

Hizo akili za nzi umezitoa wapi?
Hunisomi kwa umakini, nimesema "si wote". Wale wanaotaka kuolewa wasizuiliwe.
 
Inaitwaje hiyo sehemu

Inaitwa Makka.

Je Makka ipo nchi gani ?

Nenda kasome Quran 42 : 7 utakutana na hii aya kuhusu Makka. Je ardhi ya makka haipo saudi arabia ?

Na namna hii tumekufunulia Qur-an kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uwaonye siku ya mkutano, siku isiyo na shaka. Kundi moja litakuwa Peponi na kundi jingine Motoni "
 
Saudia kuna wakristo au hakuna wakristo
 
Mtoto wa kike anapozaliwa anakuwa na mayai kama milioni moja unusu hivi, yanaanza kuharibika kila siku kabla hata haja vunja ungo. Anapofikia umri wa kupata hedhi ya kwanza, teyari zaidi ya 70% ya mayai yanakuwa yameshaharibika. Kumbuka mayai huwa yanatoka manne hata matano kwa mkupuo, halafu moja kubwa ndiyo linapevuka, yaliyobaki yanaharibika (yanamezwa mwilini).

Mwanamke anapofikia miaka kama 22-24, anakuwa na mayai chini ya laki moja. Kimbembe kinakuja anapofika 30, hapo kuna mabadiliko mengi sana yanaanza kutokea, ikiwemo homoni za estrogen kupungua na kusababisha mayai yanayochepuka kupungua kutoka manne hadi moja. Hivyo kupelekea ongezeko kubwa la yai linalopevuka kuwa na matatizo ya kinasaba kadri umri unavyoenda (mayai ndiyo seli zenye umri mkubwa kuliko zote kwa mwanamke, zinatengenezwa siku chache tuu baada ya mimba kutungwa.

Tukija kwenye sababu za kijamii, si watoto wote wanaopenda kubaki shule, wengine ni bora tuu waolewe wakifika 16 kuliko wabaki mitaani na kuzaa na wanaume wengi, na kusababisha ongezeko la watoto wa mitaani.
Aiseh biology ya wapi hii?🤣🤣
 
Acha ubazazi wewe! Kuna wasimbe kibao mitaani achana na vitoto vidogo.
Nimeshakupa sababu za kibailojia kwa nini umri mkubwa haupo upande wa mwanamke linapokuja suala la kupata mtoto. Hata kiafya mwanamke anapofika 35 huwa anakuwa considered a high risk kupata mimba.
 
Back
Top Bottom