Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Nimesha kupa sababu za kibailojia kwa nini umri mkubwa haupo upande wa mwanamke linapokuja suala la kupata mtoto. Hata kiafya mwanamke anapofika 35 huwa anakuwa considered a high risk.
Nani kakufundisha hayo?

Nakwambia tena! Acha kuficha ubazazi wako kwenye dini?
 
Hiyo sijui. Usihamishe swali .

Unafanya ujanja wa kuhamisha mada unaitwa strawman fallacy.

Hoja yetu ni je Quran imeshushwa katika ardhi ya saudi arabia ?

Kataa hoja hii kwa ushahidi
Nakataa kwakuwa kwenye Quran hakuna neno Saudia Arabia
 
Ardhi iliyoshushwa quran tukisema leo twende tukaiangalie ama tuchote mchanga wake tuje nao bongo , je tunaenda nchi gani ? Mji wa makka na madina upo nchi gani ?

Waislam wakienda kujiji Hajj na umra wanaenda nchi gani ?

Waislam wanaposali wanaangalia kibra ambayo ipo nchi gani ?
 
Wazee wana tamani vitoto vidogo ambavyo havijaota maziwa
Kwaiyo munyazi ndie kawatuma mpambanie kuoa watoto wadogo wa miaka tisa.
 
Ardhi iliyoshushwa quran tukisema leo twende tukaiangalie , je tunaenda nchi gani ? Mji wa makka na madina upo nchi gani ?

Waislam wakienda kujiji Hajj na umra wanaenda nchi gani ?

Waislam wanaposali wanaangalia kibra ambayo ipo nchi gani ?
Makka imeandikwa aya gani
 
Ngoja tuone kati ya Wanaharakati na Feminists ambao hawajaolewa VS wafia dini
 
Hii ikipitishwa kuwa sheria naona itaongeza idadi ya single mothers, huko vijijini mabinti wakimaliza darasa la saba wakafeli wakae kusubiri wafike miaka 18.
Mimi mkristo lakini sheria nyingine kama hz naona hazina maana.
Alafu Tanzania sio Saudi Arabia kwanini unataka kutumia akili za mwenzako? Huna zako?
Humu kuna watu wameajiri housegirls under 18 na wanatembea nao, ni dhambi.
Kama binti kavunja ungo na hasomi, na ana uwezo kubeba majukumu yake kama mama, aachwe aolewe.
 
Makka imeandikwa aya gani

Nenda kasome Quran 42 : 7 utakutana na hii aya kuhusu Makka. Je ardhi ya makka haipo saudi arabia ?

Na namna hii tumekufunulia Qur-an kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uwaonye siku ya mkutano, siku isiyo na shaka. Kundi moja litakuwa Peponi na kundi jingine Motoni "

Pia nenda kasome aya 28 : 44 pia imeitaja makka
 
Hawa kawii kuandamana wabakaji wakubwa hao,waache watoto angalau hata miaka 16 sio mbaya,hii dini ina shida kubwa sana wanachojua ni kuonana na kutalakiana tu.
 
Nenda kasome Quran 42 : 7 utakutana na hii aya kuhusu Makka. Je ardhi ya makka haipo saudi arabia ?

Na namna hii tumekufunulia Qur-an kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uwaonye siku ya mkutano, siku isiyo na shaka. Kundi moja litakuwa Peponi na kundi jingine Motoni "
Achana nae muhuni tu huyu! Hata Quran yenyewe haijui analishwa matango pori tu na kuendeshwa na ubazazi wake tu
 
Hiyo quran yenyewe kuna aya kabisa imeandikwa kwamba walishushiwa quran watu waliokuwa wanaishi saudi arabia. Tena kwa lugha yao kabisa ili waielewe..

Wewe mswahili na Quran wapi na wapi huku hata kuisoma unatumia lugha ya wa saudi arabia walioshushiwa quran kwenye ardhi yao.

Waliokuletea dini ya kiislam na kushushiwa Quran wanasema ndoa miaka 18. Wewe mswahili unabisha kwa kisingizio za kuijua dini

Sheikh ponda karejea uislam kuhusu insu ya umri wa binti kuolewa si Saudi Arabia. nyie mnarejea sheria ya Saudi Arabia kum-attack Ponda..
Kwani yeye ponda hana ufahamu na sheria hiyo?.
Let say hajui ama anajua kuhusu sheria ya Saudi Arabia but what Saud Arabia adds up when it comes to Qur'an and Islam?.

Kwanini hoja zenu msizijenge kwa kutumia uislamu na si Saudi Arabia kama yeye alivyoeleza?.
Saudi Arabia haina nyongeza yoyote katika uislam na Qur'an.
Ponda ana hoja, msikilizeni.msitumie Saudi Arabia kama kichaka cha kukwepa madai yake no matter yupo sahihi ama lah.
 
Kwa hiyo wewe na Ponda wako mnaijua Quran kuliko wa Saudi Arabia?

Jinga kabisa
 
Sheikh ponda karejea uislam kuhusu insu ya umri wa binti kuolewa si Saudi Arabia. nyie mnarejea sheria ya Saudi Arabia kum-attack Ponda..
Kwani yeye ponda hana ufahamu na sheria hiyo?.
Let say hajui ama anajua kuhusu sheria ya Saudi Arabia but what Saud Arabia adds up when it comes to Qur'an and Islam?.

Kwanini hoja zenu msizijenge kwa kutumia uislamu na si Saudi Arabia kama yeye alivyoeleza?.
Saudi Arabia haina nyongeza yoyote katika uislam na Qur'an.
Ponda ana hoja, msikilizeni.msitumie Saudi Arabia kama kichaka cha kukwepa madai yake no matter yupo sahihi ama lah.

Tunajenga hoja sababu Quran imeshushwa katika ardhi ya saudi arabia.

Na kuna ushahidi wa verse za quran zimesema hilo.
 
Back
Top Bottom