Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
We kiande kweli... kumbe naongea na vitoto vya chuo watoto wa mama. 2002Achaga kuuliza maswali ya kijinga? Kama huelewi Google basi. Hii ni Jamii Forum, home of great thinkers
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kiande kweli... kumbe naongea na vitoto vya chuo watoto wa mama. 2002Achaga kuuliza maswali ya kijinga? Kama huelewi Google basi. Hii ni Jamii Forum, home of great thinkers
Nani kakufundisha hayo?Nimesha kupa sababu za kibailojia kwa nini umri mkubwa haupo upande wa mwanamke linapokuja suala la kupata mtoto. Hata kiafya mwanamke anapofika 35 huwa anakuwa considered a high risk.
Nakataa kwakuwa kwenye Quran hakuna neno Saudia ArabiaHiyo sijui. Usihamishe swali .
Unafanya ujanja wa kuhamisha mada unaitwa strawman fallacy.
Hoja yetu ni je Quran imeshushwa katika ardhi ya saudi arabia ?
Kataa hoja hii kwa ushahidi
Nakataa kwakuwa kwenye Quran hakuna neno Saudia Arabia
Wapi Sheikh Ponda katakanwa? Huo mfano wa Saudi nchi ya kiislamu kuwa na umri wa ndoa wa miaka 18 we unaona tusi??Msomi usiwe flat hivo kiasi hicho ,ponda kaja na hoja ajibiwe kwahoja ,sio kuja na tusi
Wapuuzi sana hawa jamaaWazee wana tamani vitoto vidogo ambavyo havijaota maziwa
Kwaiyo munyazi ndie kawatuma mpambanie kuoa watoto wadogo wa miaka tisa.
Makka imeandikwa aya ganiArdhi iliyoshushwa quran tukisema leo twende tukaiangalie , je tunaenda nchi gani ? Mji wa makka na madina upo nchi gani ?
Waislam wakienda kujiji Hajj na umra wanaenda nchi gani ?
Waislam wanaposali wanaangalia kibra ambayo ipo nchi gani ?
Kama una akili ya kuoa kitoto kidogo huwezi kuwa sawa kichwani. Wahi hospitali harakaWe kiande kweli... kumbe naongea na vitoto vya chuo watoto wa mama. 2002
Duuh🙄Miaka sita inaruhusiwa
Makka imeandikwa aya gani
Achana nae muhuni tu huyu! Hata Quran yenyewe haijui analishwa matango pori tu na kuendeshwa na ubazazi wake tuNenda kasome Quran 42 : 7 utakutana na hii aya kuhusu Makka. Je ardhi ya makka haipo saudi arabia ?
Na namna hii tumekufunulia Qur-an kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uwaonye siku ya mkutano, siku isiyo na shaka. Kundi moja litakuwa Peponi na kundi jingine Motoni "
Hiyo quran yenyewe kuna aya kabisa imeandikwa kwamba walishushiwa quran watu waliokuwa wanaishi saudi arabia. Tena kwa lugha yao kabisa ili waielewe..
Wewe mswahili na Quran wapi na wapi huku hata kuisoma unatumia lugha ya wa saudi arabia walioshushiwa quran kwenye ardhi yao.
Waliokuletea dini ya kiislam na kushushiwa Quran wanasema ndoa miaka 18. Wewe mswahili unabisha kwa kisingizio za kuijua dini
Kwa Tz ukifanya hivyo unapata kifungo kirefu sana tu, hakuna namna!View attachment 2577812
INASIKITISHA
Kwa hiyo wewe na Ponda wako mnaijua Quran kuliko wa Saudi Arabia?Sheikh ponda karejea uislam kuhusu insu ya umri wa binti kuolewa si Saudi Arabia. nyie mnarejea sheria ya Saudi Arabia kum-attack Ponda..
Kwani yeye ponda hana ufahamu na sheria hiyo?.
Let say hajui ama anajua kuhusu sheria ya Saudi Arabia but what Saud Arabia adds up when it comes to Qur'an and Islam?.
Kwanini hoja zenu msizijenge kwa kutumia uislamu na si Saudi Arabia kama yeye alivyoeleza?.
Saudi Arabia haina nyongeza yoyote katika uislam na Qur'an.
Ponda ana hoja, msikilizeni.msitumie Saudi Arabia kama kichaka cha kukwepa madai yake no matter yupo sahihi ama lah.
Sheikh ponda karejea uislam kuhusu insu ya umri wa binti kuolewa si Saudi Arabia. nyie mnarejea sheria ya Saudi Arabia kum-attack Ponda..