mm namuona ni mlalamikaji zaidi sio problems solver
Maani huwezi kuja laumu watumishi kulipwa pesa ndogo wakati vyanzo vyetu vya mapato vipo very limited.
Angekuja na experience ya huko alipotoka na kushauri tufanye 1, 2, 3 ili kukuza mapato yetu ili years to come tulipe maslai mazuri kwa watumishi wetu.
Tofauti na hapo lema ni mtafuta attention zisizo na maana.
..lakini kulalamika ndio mwanzo wa kutafuta suluhu ya matatizo yetu.
..ccm wanataka turidhike na hali mbaya ya uchumi ili wao waendelee kula raha na kudumu madarakani.