Nimemsikiliza kwa umakini Ester Bulaya kisha John Heche, wanasikitisha sana na wanahitaji huruma

Aliyekuwa Mbunge wa Bunda Mjini kupitia CHADEMA ndugu ESTER BULAYA nilimsikiliza kwa umakini sana wakati akiwahutubia wananchi wake.

Alijinasibu kuwa yeye simba jike alijinasibu kuleta maendeleo Bunda mjini ikiwemo maji, madawati, Barabara huku akiiponda serikali ya CCM.

Nilijiuliza sana mbunge huyu ambaye chama chake kila mara kilipiga kura ya kupinga bajeti ya serikali hayo anayoyasema yametekelezwa alipinga, wabunge wa Upinzani akiwemo ESTER BULAYA waliigomea bajeti wazi wazi. Kugomea bajeti maana yake ni kupinga maendeleo ya aina yoyote yasiende Tanzania yakiwemo na majimbo ya Upinzani ndio maana pamoja na kuongea kwa sauti za kiuanaharakati lakini wananchi hawakuonyesha ushirikiano.

Pamoja na kuonyesha bashasha wananchi walijiinamia yaani nguvu iliyotumika it was inversely proportional to the response.

Watu walionekana kujiinamia tu, CHADEMA walisahau kilichowafanya wapendwe na wananchi ni kuwatetea kuwapigania, kuwasemea matatizo yao, kuwaimbia matatizo yao.

Wananchi wa Nyamongo hawajasahau vile CHADEMA walikuwa upande wa Mabeberu wakimsaliti wazi wazi mpiganaji jemedari watu.

Ukipanda pumba utavuna pumba hivi ndivyo CHADEMA wakichokipanda wacha wakivune anguko LA chama hiki litakuwa la karne yaani Nina uhakika hakiwezi kupata hata Diwani mmoja

Magufuli aliimba tuunganeni tuijenge nchi nyie mnang'ang'ana kumshambulia kwa maneno ya kejeli wananchi mlikuwa mnawakera sana.

Hali niliyoieleza kwa ESTER BULAYA imetokea kwa HECHE, yaani wananchi hawana furaha wamenuna

Nawashauri CHADEMA wakitaka washinde walau majimbo machache waeleze Sera waache kumshambulia Magufuli na CCM watapotea kabisa tena hawataoneka

Magufuli na CCM ni tunu ya nchi kwa ss hatuna Budi kumuombea mpakwa mafuta wa bwana..

Jamani fungueni Cilp za Heche na BULAYA mtaona
Sijasoma,naweza kunusa ulichoandika,Umeandika uharo
 
Hii khabar imekaa kipashkuna kwel

We gasho siku nyingine usije kuhalisha tena mbere za watu koma
 
Tangu lini kupinga bajeti kumekuwa ni kupinga maendeleo? Bajeti ni matumizi ya fedha zinazokusanywa kutoka kwa wakazi wote waliomo Tanzania bila kujali uanachama wa chama na misaada ambayo tunapewa kama nchi na sio chama. Kupinga hakumuondelei haki ya kufaidika na makusanyo hayo na kupigana ili waliomchagua wanafaidika kutokana na mapato ya taifa lao. Bajeti sio ya chama, bali ni ya serikali ambayo wajibu wake ni kuwahudumia wakazi wote wa nchi yetu bila kujali itikadi yao au chama chao. Ni wajibu wa wawabunge kuhoji mapendekezo ya bajeti kama wanaona yana kasoro. Ni haki yao vile vile kufaidika na mapato yote ya serikali.

Amandla...
 
Tangu lini kupinga bajeti kumekuwa ni kupinga maendeleo? Bajeti ni matumizi ya fedha zinazokusanywa kutoka kwa wakazi wote waliomo Tanzania bila kujali uanachama wa chama na misaada ambayo tunapewa kama nchi na sio chama. Kupinga hakumuondelee haki ya kufaidika na makusanyo hayo na kupigana ili waliomchagua wanafaidika kutokana na mapato ya taifa lao. Bajeti sio ya chama, bali ni ya serikali ambayo wajibu wake ni kuwahudumia wakazi wote wa nchi yetu bila kujali itikadi yao au chama chao. Ni wajibu wa wawabunge kuhoji mapendekezo ya bajeti kama wanaona yana kasoro. Ni haki yao vile vile kufaidika na mapato yote ya serikali.

Amandla...
Hats hujui unachoandika nenda shule kwanza
 
Chadema ya Mlevi Mbowe haina Mbinu za Kisiasa.

Walimpinga na kumtukana sana Shekhe JK hata hivyo ustadhi wa watu alikua mnyenyekevu sana.

Hakuwabagua ,wakapata umaarufu mkubwa kwa kumdhalilisha pamoja na serikali yake. Huo ulikua Mradi wa Mbowe.

Awamu hii wamekutana na Chuma cha pua kwa kukosa Mbinu Chadema ya Mlevi ikaja na Mbinu zilezile za kilevi. Wakafikiria watapata maujiko kama kawaida yao matokeo yake wamepoteza ramani kabisa.

Mbowe nitamlaumu mpaka siku nitakapomsikia ametupwa Gerezani kifungo cha Maisha kwa uhuju uchumi na uchocheze wa kutisha.

Mbowe alihamasisha siasa za kitoto kabisa tena watoto wenye utindio wa ubongo. Kama huyo Mzinzi na Mlevi Mbowe angeacha Demokrasia ishamiri ndani ya Chadema hakika mwaka huu ilikua inapata wabunge zaidi ya 150. Kwa kukosa Hekima na maarifa Mbowe akaendekeza ubabe,ufuska,ulevi, uzushi, chuki dhidi ya makabila mengine tofauti na kabila lake na kuwalazimisha wafuasi na wabunge toka Chadema kuwa kama robot kufuata anachotaka ikiwa ni pamoja na kutoka nje ya bunge na kupinga hata maendeleo ya wazi waliyoyapigania kwa Miaka mingi huku wakiwazomea wabunge wa vyama vungine na kuwafukuza wale waliotumia haki yao ya kikatiba kutoa maoni yao na kuwa huru kumuunga mkono Mh.Rais au kumpinga.

Msanii ,mlaghai na mwizi Mbowe anapiga demokrasia badala ya kuipigania kwa kuwalazimisha wabunge na madiwani wake kufuata anachotaka ikiwa ni pamoja na kususia shughuli za maendeleo hata kama zinafanyika kwenye majimbo yao ( ujinga uliohitimu kwa kiwango cha PhD.)

Sasa ubaya ubaya. Mlevi na Mlevi wake alifikiri kuwa ataitisha Serikali na JPM.

Vipi Dr. Slaa ambaye naye alikuwa mstari wa mbele akiongoza kashkash dhidi ya serikali ya JK, unamchukuliaje? Yawezekana alidanganywa na Mbowe?
 
Sawa je jimboni kwake kawafanyia mambo gani baada ya kupinga kila kitu miaka 5

Hili neno “kupinga tu / kila kitu” ni kuwalaghai wasio na uelewa wa kupambanua masuala. Elezeni ukweli wa hoja za wapinzani. Km mtu akisema ununuzi wa ndege haukuwa sahihi mnakimbilia kupiga kelele eti amepinga kununua ndege au kufufua ATCL. “Halafu kapanda ndege yetu”. Utter rubbish!

Ongea na wataalamu wa mashirika ya ndege au jamaa wa Boeing na Bombardier watakuambia mshangao walio nao jinsi hizo ndege zilivyonunuliwa - eti kwa cash money! It never happens in a serious business!

Bajeti isipozingatia vigezo makini ni jukumu la upinzani kuonyesha kasoro, kuleta bajeti mbadala na kutounga mkono bajeti isiyokidhi vigezo. Ni vile wananchi wengi hawana uwezo wa kuelewa undani wa mpangilio wa bajeti, wazee wa mapambio mnawadaka kwa kauli za “kupinga bajeti ili miradi isitekelezwe”!

Ukichukulia jinsi wananchi wengi pamoja na praise & worship choir mnavyoamini kuwa Rais ndiye mwenye pesa zote na anazitoa kwa miradi akiombwa kwa unyenyekevu, hapo ndipo ujinga unapofikia kiwango cha SGR. Hata mjadala wa maana kuhusu uchumi hauwezekani. Tuendelee kuwa watazamaji.
 
sasa kwa hoja hiyo kwa nini wabunge wanatoa ahadi wakati hawawezi kujenga chochote na je si tungechagua vichaa kwani yeyote anaweza kuikumbusha serikali! Kwa nini tunachagua wajuvi na welevu(chadema) wakati hata wewe ungeenda na pumba zako hizo
Nakumbuka suala la kikotoo. Wapinzani wakapinga. Wabunge wa chama tawala wakawabeza halafu wakasema ndiooooo. Mheshimiwa Rais akasema kweli suala linatakiwa Liangaliwe upya na liahirishwe, kama walivyosema wakina Esther Bulaya. Wabunge wa chama tawala wakampongeza kwa kuwajali wananchi wake na kupiga chini muswada ambao waliukubali kwa kishindo!

Amandla...
 
Sawa je jimboni kwake kawafanyia mambo gani baada ya kupinga kila kitu miaka 5
Ni kazi ya serikali kufanya maendeleo au ni kazi ya mbunge?
Ndio nyie diwani akisema "ntawajengea barabara... zahanati na shule" mnashangilia pasipo kujiuliza ama kumuuliza mgombea "..mbona wewe huna hata banda umepanga chumba kimoja jangwani haya utayafanyaje?"
Tatizo yaweza kuwa ni zile nnywa za kupokezana...
 
Back
Top Bottom