Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

Duuuuh! bonge la ushauri mkuu upo vzr sana, salut!
 
Dear brothers and sisters, uchumba sio ndoa. Usimfanyie vitu vya gharama mchumba. Anaweza kuja kuwa mume/mke wa mtu baadae huyo. Ni mke wako ama mme wako ndio unatakiwa kumgharamia kwa akili yako yote na mali zako zote Na nguvu zako zote.
Mke hasomeshwiiiiiiiiiii........kamwe
 
pole sana
achana na kesi mahakamani
msamehe, accept the reality
Mungu mwenyewe anajua ata deal nae vipi
 
Alafu kiukweli kweli hapo kwenye kumdai hizo hela mahakamani angepotezea tu kabla hajajiumiza mwenyewe, ebu imajin unamdai hizo hela alafu jamaa wake wa sasa anakuja kuzitoa zote kwako tena kash, itauma sana!!
 
you should have known better,,mchumba hasomeshwi
 
Pole sana mkuu....unachopaswa kujifunza ni kwamba wanawake ni MBWA....hawaaminiki hata chembe....tena shukuru hajakubambika hiyo mimba aliyojazwa na MBWA mwenzake. Inauma sana.
 
Mtu masikini si mtu wa kumwamini hata kidogo

Agiza kuku wa kijijini naja kulipa! mtu mwenye afadhali/chochote ukamuongezea kidogo ana afadhali asiye na kitu kabisa awe me/ke huongea vizur akiwa hana kitu akipata sehemu yakujiahikiza wana vitimbwi shetani ana afadhali
 
ila wakimaliza kusoma mishahara yao mnaitaka achangie! mi ukijifanya mchumba hasomeshwi najikausha ila baadae mshahara haukuhusu 100%
unasomeshwa na mchumba nini?...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ukimsomesha mchumba iwe short course isiyozidi miezi mitatu na awe day scholar [emoji23][emoji23][emoji23]
 
ila wakimaliza kusoma mishahara yao mnaitaka achangie! mi ukijifanya mchumba hasomeshwi najikausha ila baadae mshahara haukuhusu 100%

Mshahara achangie nini? Kama mna familia kwa nini asichangie na mkagawana majukumu. Nini maana ya familia?

Me ndo maana naonaga wanawake wana akili za kuku kabisa
 
ila wakimaliza kusoma mishahara yao mnaitaka achangie! mi ukijifanya mchumba hasomeshwi najikausha ila baadae mshahara haukuhusu 100%
Mwanaume wa kutegemea mshahara wa mke ni MWANAUME WA DAR peke yake.
 
Mshahara achangie nini? Kama mna familia kwa nini asichangie na mkagawana majukumu. Nini maana ya familia?

Me ndo maana naonaga wanawake wana akili za kuku kabisa
Wewe ni Mwanaume wa dar bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…