Nimemtafuna Daktari aliyenitibu gono

Nimemtafuna Daktari aliyenitibu gono

Wakuu kwema?

Aisee katika pita pita zangu, si nikakumbana na gono bana. Sasa nikajitibu kimya kimya mpaka nikapona, yule daktari aliyenitibu nimejikuta niko deep in love with her.

Leo nimemtafuna tayari.

Asanteni
Atakupa tena gono, shauri yako mkuu!
 
Wakuu kwema?

Aisee katika pita pita zangu, si nikakumbana na gono bana. Sasa nikajitibu kimya kimya mpaka nikapona, yule daktari aliyenitibu nimejikuta niko deep in love with her.

Leo nimemtafuna tayari.

Asanteni
Maneno bila picha hayanogi mkuu,,
Tuma picha kabla ya matibabu tuone.
 
Ingekuwa ni ajabu kama ungemtafuna kabla ya kupona, kwani udaktari wake ungekuwa na mashaka, lakini umepona, sioni ajabu. Hivi madaktari huwa hawaumwi? Ukute naye alishaumwa hilo gonjwa!!
 
Ukute daktari nae ana human papilloma virus..teh,
 
Ukajitibu kimyakimya then ukala daktari!! Sasa mbona hujamtaja au daktari ndo wewe hivyo umejila au..?
Atakuwa kapiga puli huyu.

Anasheherekea ushindi wa kulazimisha kama CCM.
 
Ukikutana na daktari atakaekutibu na kukupima tenzi dume pia ulete mrejesho
 
Back
Top Bottom