Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakupa tena gono, shauri yako mkuu!Wakuu kwema?
Aisee katika pita pita zangu, si nikakumbana na gono bana. Sasa nikajitibu kimya kimya mpaka nikapona, yule daktari aliyenitibu nimejikuta niko deep in love with her.
Leo nimemtafuna tayari.
Asanteni
Maneno bila picha hayanogi mkuu,,Wakuu kwema?
Aisee katika pita pita zangu, si nikakumbana na gono bana. Sasa nikajitibu kimya kimya mpaka nikapona, yule daktari aliyenitibu nimejikuta niko deep in love with her.
Leo nimemtafuna tayari.
Asanteni
Atakuwa kapiga puli huyu.Ukajitibu kimyakimya then ukala daktari!! Sasa mbona hujamtaja au daktari ndo wewe hivyo umejila au..?