GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nadhani sasa ifike muda Viongozi wa Simba SC muanze Kuutumia sana huu Mtandao wa JamiiForums ambapo wana Simba SC wote wenye Akili Kubwa na tunaoujua Mpira kwa Kuucheza kwa Viwango vyetu na Kuuchambua ili muwe mnachukua na kufanyia Kazi mawazo yetu.
Hivi Uongozi wa Simba SC kabisa kabisa huyu Lameck Lawi ni Mchezaji wa Hadhi hiyo ya Kuichezea Simba SC yetu hii?
Hivi Uongozi wa Simba SC kabisa kabisa huyu Lameck Lawi ni Mchezaji wa Hadhi hiyo ya Kuichezea Simba SC yetu hii?