GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimecheka mpaka basi Mkuu.
Na wala hajui Mpira.Nadhani Simba hawamtaki tena....
Unaweza kumpa mtu umuhimu akaja akakuangusha vibaya...bora wamuache tuu...nadhani watafanya hivyo.Na wala hajui Mpira.
Wamemng'ang'ania kwa kumpeleka TFF ili iamuliwe aende Simba.Unaweza kumpa mtu umuhimu akaja akakuangusha vibaya...bora wamuache tuu...nadhani watafanya hivyo.
Ulichelewa Sana kumfuatilia. Ukitafuta kina Lawi wako wengi Tanzania na kuendelea kuhangaika naye labda ni Kwa dhumuni la kuweka kumbukumbu Sawa na kuhakikisha sheria zinafuatwa.Nadhani sasa ifike muda Viongozi wa Simba SC muanze Kuutumia sana huu Mtandao wa JamiiForums ambapo wana Simba SC wote wenye Akili Kubwa na tunaoujua Mpira kwa Kuucheza kwa Viwango vyetu na Kuuchambua ili muwe mnachukua na kufanyia Kazi mawazo yetu.
Hivi Uongozi wa Simba SC kabisa kabisa huyu Lameck Lawi ni Mchezaji wa Hadhi hiyo ya Kuichezea Simba SC yetu hii?