Nimemtolea mahari sasa ananipa shida, najuta!

[emoji28]

2015 ulikuwa na miaka 24

2021 una miaka 27 [emoji23]
 
Vijana mkiwa mnaweka madhaifu ya wenza wenu msisahau kuweka na madhaifu yenu.

Kila siku mnalialia tu,sisi mbona tunaishi na wake zetu na tunaishi na changamoto zao hivyo hivyo.
 

Kama muislamu basi talaka yake zaidi ya tiketi ya TARURA
 
Muache tonny Mapenzi
Mapenzi yamutese
 
Hawa vijana waleta nyuzi[emoji23]
 
Toa ushauri kaka, kuhusu miaka tuweke pembeni, hii ni stori ya kweli.
 
Duuu Tony Malove anaomba ushauri wa malove. Dogo mwanamke kama hataki mwache aende zake husimlazimishe.
 
Bora ukubali kupoteza hiyo milioni 1.5 kuliko kuja kuwekewa sumu, kudhuriwa physically, kupewa umeme kama atampata huyo mwenye mazingira yanayomridhisha akawa anaenda kuuza mechi kipindi bado uko naye..
Lazima uumie moyo kwa sasa kwa vile mwanaume hadi anaamua kuoa bila kuwa influenced na external push factors huwa ameshajiridhisha juu ya kiwango cha upendo wake kwa huyo mwanamke, ila MUDA NI TABIBU MZURI SANA kama ni ndoano pasua mashua... maisha mafupi sana haya kubebelea stress mingi au kufikiria watu watanionaje, ISHI KWA AJILI YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…