Nimemtolea mahari sasa ananipa shida, najuta!

Nimemtolea mahari sasa ananipa shida, najuta!

Braza acha tu likukute...

Hivi huko kwenye Ndoa HUWA MNAFATA NINI?

1. Kuna kipi ukiwa single unakosa mpaka uamue kuoa?
2. Una hela/uwezo wa kula mayai kila siku, kwanini ufuge kuku?
3. Mnafata nini huko kwenye Ndoa?
4. We kila siku dunia inalalamika na ndoa we ndio unakimbilia..!!

Sikia..

Umeajiriwa; Nenda chuo ONGEZA elimu TAFUTA PESA
Umejiajiri; Tafuta skills wekeza kwenye mambo zako TAFUTA HELA.

THE POINT IS in whatever you do FIND MONEY.

With money life is GOOD.

What is KUOA by the way.

Achane kuoa mpunguze MATATIZO.

*KESHO ATAKUJA MWENGINE HUMU ANALALAMIKA.

#YNWA
Swali lingine la msingi nakupa kazi nipe hasara za ndoa hata mbili au tatu. Ukiweza kunipa hizo hasara mimi naacha kujadili huu mjadala au nitaomba ID hii ifungwe na wewe utakuwa shahidi wa hili.

Wenye jambo letu tumeingia.
 
Mimi ni kijana wa miaka 27,nafanya kazi.nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahali zaidi ya milioni na nusu,amekuja mkoa ninao fanya kazi,lakini vituko anavyonifanyia ni hatari,hadeki,kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe.hata kama mimi ninanyege ananiyima penzi.pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida,mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu,mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi,kinachoniuma pesa niliyomtolea.naombeni ushauri ndugu zangu.nifanyeje mie.kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahali yangu.
Wewe hujaoa..sema umemlipia mahari tu na kumchumkua kama mchumba.sio mke wako huyo
Na ina vyoonesha huna kipato cha kuwsza kumtunza huyo mtoto wa WATU ndo maana frustrations nyingi na kutoelewana.nimehisi hivi sababu unalia lia sana kuhusu mahari ohh million na nusu...hela yangu nimepoteza..wakati kuna wenzio mahari mpaka million nne wanatoa na wapo kimya.
Pia unaweza ikawa na vijitabia vyako wewe mwenyewe ambavyo huvitaji vinamkwaza huyo Dada pia.we sio malaika

Kama humtaki na huwezi mrekebisha nenda kwao waambie wakurudishie hiyo hela yako.
 
Mkuu dawa yake ni mruhusu arudi nyumbani afu jifanye kumpotezea ili aanze kujua umuhimu wako kwanza ndio mambo mengine yatafata stand as a man bwana unaibisha wana

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Huo mda wa kusubilia huyu mpuuzi uko wapi achana nae move on na mgine, akirudi akute kuna mtu.
 
Ndoa ni kipimo cha utimamu wa akili.

Kwenye ndoa tunafata utulivu,na kuchunga nasaba.

Vijana wengi wanafeli kwenye ndoa sababu wanajichukulia wao na wanawake wako sawa hili tatizo kubwa sana.

Kingine vijana vijana wengi wakike kwa wakiume hawajui kuchagua wenza hili nalo tatizo kubwa sana.

Ukiwa single unakosa vingi sana. Ukiwa single unatengana na asili na uzani unathibitisha ya kuwa si timamu wa akili.

Huu ni wendawazimu mwingine,ambao hawayasemi haya isipokuwa wajinga wapumbavu. Zinaa ni mbaya kiakili na kidini. Yaani ni uchafu.

Unarudia swali ambalo limejibiwa tayari.

Hii siyo nikikuomba ushahidi wa dunia gani inalalamika hutaweza.

Ukichunguza wengi wanao lalamika kuhusu ndoa na si wote,wanaangukia katika sababu zifuatazo.

1. Walikosea kuchagua wenza.
2. Wao wenyewe wana matatizo yaani hawajui kuishi na wenza.
3. Malipo ya machumo yao
4. Hawajui ndoa ni nini.

Sisi tumeoa mbona hatulalamiki kuhusu ndoa zetu na tuko wengi sana.
Bora nyie wanaume wenye akili mtusaidie kufunda hawa watoto. Jando halipo siku hizi basi taabu tupu[emoji2297][emoji2297]
 
Wewe jamaa ulijifanya muungwana sana kwa kulipa mahali mapema,mimi wife sikumlipia mahali hadi leo tumeshafikisha watoto watatu.Mahali nitalipa nadhani mwakani.
 
Swali lingine la msingi nakupa kazi nipe hasara za ndoa hata mbili au tatu. Ukiweza kunipa hizo hasara mimi naacha kujadili huu mjadala au nitaomba ID hii ifungwe na wewe utakuwa shahidi wa hili.

Wenye jambo letu tumeingia.
Soma hiyooo.....

Umeomba 2 au 3 nimekupa huo MZIGOO WA HASARA.

#YNWA
 
[emoji28]

2015 ulikuwa na miaka 24

2021 una miaka 27 [emoji23]
Tatizo linaanzia hapa, kujidogolisha[emoji16][emoji849]

Ndo maana stori za humu kuziamini mimi ni ngumu sana!
 
Ndoa ni kipimo cha utimamu wa akili.

Kwenye ndoa tunafata utulivu,na kuchunga nasaba.

Vijana wengi wanafeli kwenye ndoa sababu wanajichukulia wao na wanawake wako sawa hili tatizo kubwa sana.

Kingine vijana vijana wengi wakike kwa wakiume hawajui kuchagua wenza hili nalo tatizo kubwa sana.

Ukiwa single unakosa vingi sana. Ukiwa single unatengana na asili na uzani unathibitisha ya kuwa si timamu wa akili.

Huu ni wendawazimu mwingine,ambao hawayasemi haya isipokuwa wajinga wapumbavu. Zinaa ni mbaya kiakili na kidini. Yaani ni uchafu.

Unarudia swali ambalo limejibiwa tayari.

Hii siyo nikikuomba ushahidi wa dunia gani inalalamika hutaweza.

Ukichunguza wengi wanao lalamika kuhusu ndoa na si wote,wanaangukia katika sababu zifuatazo.

1. Walikosea kuchagua wenza.
2. Wao wenyewe wana matatizo yaani hawajui kuishi na wenza.
3. Malipo ya machumo yao
4. Hawajui ndoa ni nini.

Sisi tumeoa mbona hatulalamiki kuhusu ndoa zetu na tuko wengi sana.
Ndoa sio utimamu wa akili.

Kuna walio kwenye ndoa halafu wafanyayo duniani mpaka UNASHANGAA..!!!

Ile top ten ya matajiri wa dunia IMEGUNDUA VITU AMBAVYO HUFANYA DUNIA ITEMBEE ila HAWAJAOA, hapa nazungumzia Bill Gate, Benzos na wengine

Eicher ndio sasa hivi basi mashuhuri kwa usafiri TZ na hasa Dar, mwenye Eicher kampani HAJAO.

Dangote ndio mbabe wa Africa HAJAOA.

Kenya ilishawahi kumiliki BEST JUDGE mkuu ambae hakua ameoa.

Ina maana wotee Hawa HAWANA AKILI?

#YNWA
 
[emoji28]

2015 ulikuwa na miaka 24

2021 una miaka 27 [emoji23]
Umemshika.

Huyu na wema sepetu hawana tofauti. Hawafiki 30, wao wakifika 29 wanarudi 25.

Huyu dogo kma shoga hivi.
 
Mimi ni kijana wa miaka 27,nafanya kazi.nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahali zaidi ya milioni na nusu,amekuja mkoa ninao fanya kazi,lakini vituko anavyonifanyia ni hatari,hadeki,kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe.hata kama mimi ninanyege ananiyima penzi.pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida,mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu,mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi,kinachoniuma pesa niliyomtolea.naombeni ushauri ndugu zangu.nifanyeje mie.kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahali yangu.
Inatokeaga Ila huenda anamimba

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Soma hiyooo.....

Umeomba 2 au 3 nimekupa huo MZIGOO WA HASARA.

#YNWA
Nmecheka sana nasema hivi mpaka unakufa huwezi kuweka hasara za ndoa. Wala hakuna aliyeweza kufanya hivyo.

Makosa ya wajinga fulani katika jambo la ndoa hatusemi hizo ni hasara bali ni uzembe wa wana ndoa.

Nakupa miaka mia ulete hasara za NDOA hutaweza wala hakuna aliye wahi kiweza.

Nasubiri hasara za ndoa,siyo ujinga na madhaifu ya wana ndoa kwa kukiuka taratibu za ndoa.

Kingine kwenye Wanaume kuna Wanaume,wanaume hatuwezi hatujadili mambo ya ndoa kitoto na hamasa namna hiyo.

Nataka hoja.
 
Mimi ni kijana wa miaka 27,nafanya kazi.nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahali zaidi ya milioni na nusu,amekuja mkoa ninao fanya kazi,lakini vituko anavyonifanyia ni hatari,hadeki,kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe.hata kama mimi ninanyege ananiyima penzi.pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida,mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu,mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi,kinachoniuma pesa niliyomtolea.naombeni ushauri ndugu zangu.nifanyeje mie.kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahali yangu.
Kama hakuna kitu anachocontribute financially,hakikisha unamuacha kabla hamujapa mtoto.
Maumivu yataisha baada ya kuachana ila mukishazaa hata muachane mutatesa mtoto.
Fanya maamuzi magumu,muache kisha relax kwanza hata miaka miwili hivi
 
Back
Top Bottom