Nimemtolea mahari sasa ananipa shida, najuta!

Mimi ni kijana wa miaka 27,nafanya kazi.nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahali zaidi ya milioni na nusu,amekuja mkoa ninao fanya kazi,lakini vituko anavyonifanyia ni hatari,hadeki,kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe.hata kama mimi ninanyege ananiyima penzi.pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida,mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu,mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi,kinachoniuma pesa niliyomtolea.naombeni ushauri ndugu zangu.nifanyeje mie.kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahali yangu.
Utakufa unuache mwenzako anafaidi maisha na njemba zingine

Mkeo hakuwa amezoea kutoa uroda kila mara hivyo ukishamwondolea nyege zake anaweza kaa zaidi ya wiki hata mwezi bila kuhitaji kuingiliwa na mwanaume hii inakuwa kawaida Sana wanawake waliopo chini ya miaka 30, taratibu inapanda baadaye utaanza kumkimbia wewe na kumuona mlafi wa ngono Kwa maana akipitisha siku ni salia mtume.

Ndiyo maana wanawake zaidi ya 35 yrs walioolewa au waliokuwa kwenye ndoa hawasumbui kutoa uroda na anakuperekesha balaa ukizubaa

Ukitaka ufaulu mitihani ya ndoa tumia principal ya Paulo "enyi mliooa mjihesabu kama hamjaoa Kwa ajiri ya Bwana"

Hakika utafurahia Sana

Maana furaha na huzuni ziko zote pamoja Kwa mwanaume ni wewe Tu kuchagua uswichi kipi. Tofauti na mwanamke Kwa kuwa furaha na huzuni hupeana shift ikitoka huzuni inakuja furaha , hivyo ndiyo maana wanaume tuliambiwa tuishi nao Kwa akili ukimuona ahafuraha mtafutie huzuni , akiwa na huzuni mtafutie furaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukitaka awe na furaha Tu hataweza lazima atakuchokonoa ili Tu ukasirike ili umsababishie huzuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii principal ukiijue utaishi zaidi ya mfalme
 
Mwache aende uiponye nafsi.. Pesa inatafutwa .. Pumzi haitafutwi... Mwache aende utue mzigo mzito ukimng'ang'ania anaweza kukudhura au unaweza kumdhuru na kupata hasara mara mbili
 
Mimi ni kijana wa miaka 27,nafanya kazi.nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahali zaidi ya milioni na nusu,amekuja mkoa ninao fanya kazi,lakini vituko anavyonifanyia ni hatari,hadeki,kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe.hata kama mimi ninanyege ananiyima penzi.pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida,mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu,mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi,kinachoniuma pesa niliyomtolea.naombeni ushauri ndugu zangu.nifanyeje mie.kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahali yangu.
Kumbe hata hamna watoto, mrudishe kwao asikuumize kichwa. Amemmiss bwana wake wa zaman huko kwao.
 
Utakufa unuache mwenzako anafaidi maisha na njemba zingine

Mkeo hakuwa amezoea kutoa uroda kila mara hivyo ukishamwondolea nyege zake anaweza kaa zaidi ya wiki hata mwezi bila kuhitaji kuingiliwa na mwanaume hii inakuwa kawaida Sana wanawake waliopo chini ya miaka 30, taratibu inapanda baadaye utaanza kumkimbia wewe na kumuona mlafi wa ngono Kwa maana akipitisha siku ni salia mtume.

Ndiyo maana wanawake zaidi ya 35 yrs walioolewa au waliokuwa kwenye ndoa hawasumbui kutoa uroda na anakuperekesha balaa ukizubaa

Ukitaka ufaulu mitihani ya ndoa tumia principal ya Paulo "enyi mliooa mjihesabu kama hamjaoa Kwa ajiri ya Bwana"

Hakika utafurahia Sana

Maana furaha na huzuni ziko zote pamoja Kwa mwanaume ni wewe Tu kuchagua uswichi kipi. Tofauti na mwanamke Kwa kuwa furaha na huzuni hupeana shift ikitoka huzuni inakuja furaha , hivyo ndiyo maana wanaume tuliambiwa tuishi nao Kwa akili ukimuona ahafuraha mtafutie huzuni , akiwa na huzuni mtafutie furaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukitaka awe na furaha Tu hataweza lazima atakuchokonoa ili Tu ukasirike ili umsababishie huzuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii principal ukiijue utaishi zaidi ya mfalme
Kaka ubarikiwe sana kwa ushauri wako.
 
Braza acha tu likukute...

Hivi huko kwenye Ndoa HUWA MNAFATA NINI?

1. Kuna kipi ukiwa single unakosa mpaka uamue kuoa?
2. Una hela/uwezo wa kula mayai kila siku, kwanini ufuge kuku?
3. Mnafata nini huko kwenye Ndoa?
4. We kila siku dunia inalalamika na ndoa we ndio unakimbilia..!!

Sikia..

Umeajiriwa; Nenda chuo ONGEZA elimu TAFUTA PESA
Umejiajiri; Tafuta skills wekeza kwenye mambo zako TAFUTA HELA.

THE POINT IS in whatever you do FIND MONEY.

With money life is GOOD.

What is KUOA by the way.

Achane kuoa mpunguze MATATIZO.

*KESHO ATAKUJA MWENGINE HUMU ANALALAMIKA.

#YNWA
hahahaha
 
Binafsi nimechoka malalamiko yaani kila siku
 
2015 ulikua na miaka 24 leo 2021 una 27yrs[emoji6]
Pole oa mke wa pili
 
Mkuu dawa yake ni mruhusu arudi nyumbani afu jifanye kumpotezea ili aanze kujua umuhimu wako kwanza ndio mambo mengine yatafata stand as a man bwana unaibisha wana

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app

Huu ndio ushauri sasa, muache arudi kwao alafu usifanye huduma yoyote yaani muoneshe bila yeye wewe unaweza kuishi tena kwa furaha tu.

But kama huwezi fanya hivi ina maana una uwezo wa kuendelea kuvumilia matatizo na bila yeye wewe huwezi.
 
Sasa umeoa au umelipa mahari tu? Ndoa ni mkataba ulioidhinishwa kisheria na kubarikiwa na kiongozi wa dini au mwanasheria na huwa mnakabidhiwa cheti maalum! Je, cheti hiko mnacho?
Jamii nyingi sasa zinafikiria ukimlipia mwanamke mahari basi tayari ni ndoa hiyo.
 
Liverpool VPN hembu njoo huku vijana hawajaelewa somo

Na yule Mr bikra Nani yule hembu njoo mtusaidie huku(kwa sauti ya baby ayubu)
 
Ni vyema ukapambania kuiponya nafsi yako kuliko kuendelea kuhuzunika kisa hiyo mahari unachokitafuta kinaweza kukugharimu kuliko hiyo mahari uliyomtolea muelekeze abadilike mpe muda mvumilie ikishindikana achana nae
 
Mimi ni kijana wa miaka 27, nafanya kazi. Nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahari zaidi ya milioni na nusu.

Amekuja mkoa ninaofanya kazi, lakini vituko anavyonifanyia ni hatari. Hadeki, kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe hata kama mimi nina nyege ananiyima penzi.

Pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida. Mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu, mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi.

Kinachoniuma ni pesa niliyomtolea. Naombeni ushauri ndugu zangu, nifanyeje? Pia, kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahari yangu?
Uchumba Si unavunjwa tu ... Kama ukivyopeleka mahali mtuke mshenga kavunje uchumba
 
Back
Top Bottom