Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Si bora ww laki tano mwenzako humu humu katongoza demu leo kesho demu anamkopa jamaa 2 Milioni noma sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]kwani nimekosea ? Najaribu kuvaa viatu vya kibinadamu.
Mtakuja kujuta pale ambapo ulishindwa kumsadia umpendae kisa hii kasumba ya kuona kila muomba hela ni mdangaji. Saa ingine tunataitiwa kweli
Kutaitiwa kupo,
ila hakuondoi Haina yenu ya asili ya kike. (AIBU).
Mwanamke asiye na aibu Ni very toxic[emoji4]
 
And here we go that is ma boy deepbond zee la kuonga
 
Mpatie
Sasa wewe si umekubali kuwa bwana wake auu??
Upendo hauangalii mda kikubwa unayempenda atatue tatizo lake.
Unataka aanze kupata matatizo baada ya mda ganii??
Ampatie ila amuweke kwny kumbukumbu za serikali yake kwamba uyo Yuko kimaslah[emoji4]
 
Yaani kama babaake aliyemzaa hamuelewi we ndio unataka kumuelewa eeh, ok we yoa pesa au omba namba ya babaake umpange kua utalipa deni mdogomdogo
Hehehe Kwani yeye ndo ameiba pesa
 
Kwani mkuu ukimtumia unaondoka na kitumbua chake?

Unamkamua na anapata raha pia anapata na pesa.
Aaah wapi,
ingekua raha Ndo kigezo mngekua mnatupa bure Basi.

Nnachojua kile kiungo mwanamke yeyote anakilinda na kukithamini Sana.

Iyo Haina mjadala,
Ndo maana katika vitu havitokagi kichwani mwa mwanamke Ni kutumikishwa kingono.
Mf:kubakwa,kuliwa bure, kudhalilishwa uchi wake n.k

Hivyo Ata afanyiwe miaka 30 ilopita, bado tu Lazima atakumbuka na hatosahau kamwe[emoji4]
 


Nasema ivi umeingizwa mjini. Hakuna chakupotea hela nzehe, zinduka.

Ushauriwangu, owa.
 
Sasa msilalamike mkipigwa mizinga sababu mnataka wanaovutia,kufeni kiume tu....[emoji3]
Cha ajabu ukute na anaelalamika mzinga nae kaja kusuuza rungu TU na kusepa.

Biashara inatakiwa kua fair,
Ukila kidg, ujue Kuna kuliwa kingi[emoji4]
 
Nasisutiza tena, achananae,,,,hapo umeingizwa mjini.

Ushauriwangu, OWA, OWA, OWA.
 
Sasa akipata tabu asiseme jamanii
Sio kimaslahii
Mtu wa maslahi ajifichi mbona, as time goes ataonesha rangi yake halisi.

Ujue binamu tabia ya mtu iko Kama ngozi vile, Ni hivyo hivyo kwa wadangaji[emoji4]
 
Ushauri wangu Kama yupo Karume(Nymbani hapo) naomba namba Zake PM tutasaidiana kumpatia hiyo Laki 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…