Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutaitiwa kupo,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]kwani nimekosea ? Najaribu kuvaa viatu vya kibinadamu.
Mtakuja kujuta pale ambapo ulishindwa kumsadia umpendae kisa hii kasumba ya kuona kila muomba hela ni mdangaji. Saa ingine tunataitiwa kweli
And here we go that is ma boy deepbond zee la kuongaHapo umepata mdangaji na sio mpenzi
(haihitaji kujiuliza Mara mbili)
Kama uwezo unao,
mpe iyo Ela afu nawe mfanye kahaba wako.MFUJE IPASAVYO USIMPE PUMZI. Kisha pembeni endelea na harakati za kutafta mpenz wako.
Akija kustuka na keshaanza kukupenda tayar, wewe Ndo ushapata mpenz wako anayejielewa unampiga chini kwa maumivu makali uku ushampotezea MDA KIBAO na menopause ishasogea.
Ndo dawa ya wadanganji iyo.
Ampatie ila amuweke kwny kumbukumbu za serikali yake kwamba uyo Yuko kimaslah[emoji4]Mpatie
Sasa wewe si umekubali kuwa bwana wake auu??
Upendo hauangalii mda kikubwa unayempenda atatue tatizo lake.
Unataka aanze kupata matatizo baada ya mda ganii??
Ha ha ha.....Umenikimbusha mbali,nilimfanyia hivi manzi mmoja
Acha anione mnyonge Ila kwangu niliona hiyo ndio njia sahihi ya kumuhepuka.Tatizo ukimblock unakua umemtangaxia kwmb wewe Ni mnyonge[emoji4]
Aaah wapiYou must be stacking high man. You always talk about wasting alota cash that business gots to be big!
Sasa akipata tabu asiseme jamaniiAmpatie ila amuweke kwny kumbukumbu za serikali yake kwamba uyo Yuko kimaslah[emoji4]
Ashafafanua au bado namm niongezee nyama?[emoji4]Mkuu demu wa kawaida ndo yukoje na ambaye siyo wa kwaida yukoje.
Naomba ufananuzi plz
Hehehe Kwani yeye ndo ameiba pesaYaani kama babaake aliyemzaa hamuelewi we ndio unataka kumuelewa eeh, ok we yoa pesa au omba namba ya babaake umpange kua utalipa deni mdogomdogo
Aaah wapi,Kwani mkuu ukimtumia unaondoka na kitumbua chake?
Unamkamua na anapata raha pia anapata na pesa.
Ha ha....Nenda woolworths leo ukaombe namba kwa mwingine, Wa huko hawaombagi hela[emoji1787]
Wee jamaa bazazi Sana aisee[emoji1787]ila laki tano kwa mbusus inabidi hapo mwanamke awe pia anatoa tigo sio mbususu tuu
Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji.
Sasa ktk tembea tembea pale sokoni nikaiona pisi kali inachagua chagua blauzi za buku buku. Moyo ukafanya "chwaaaaaaaah!!!" Mamamamaaa aisee mjini kuna watoto wakali mazee. Alikua amepiga vile visketi flani vya mpira mpira hips zimechomoza kama vile zinapambana zitoboe ile sketi pembeni zipotelee kusikojulikana. Juu alipiga top halafu kifuani saa sita zimechomoza dizaini kama hakua amevaa bra. Nikajikuta kama nimeduwaa shetani akanishika mkono akaniambia "blaza blaza usinikemee, hakika mm ni rafiki yako wa kudumu [emoji39]"
Nikaanza kujivuta mdogo mdogo kuelekea alipokua anachagua nguo. Mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi mno mpaka nilikua nayaskia hapa kifuani "tu tu tuuuu!!!" Nikamsogelea
Mimi "hello bestie, habari"
Yeye "safi"
Mimi "samahani kama nakufananisha hivi"
Yeye "sio mimi"
Mimi "okay, nina shida nahitaji kuwasiliana na ww.. sijui naweza kupata namba yako?"
Akaniangalia kuanzia juu mpaka chini kisha akanipa kasimu kake ka smart ka Samsung nichore namba yangu. Nikaandika. Nikajibip. Nikamshukuru. Nikasepa.
Huyoooooo nikaenda kituo cha gerezani kudaka mwendo kasi nirudi kitaa. Nikasema simtafuti kwanza mpaka jioni. Usiku nikamtext kumpanga for the next appointment. Ila akawa ananijibu kimkato mkato tu. Nikampandia hewani akakata akaniambia subiri nipo na kaka ntakupigia. Ikabidi nimpige sound ktk sms, akatiki lkn kwa masharti nisimuumize maana mahusiano yake yaliyopita alitendwa na hatopenda kupata experience kama ile. Nikamtoa hofu!
Leo asubuhi nimeamka nimekuta amenitumia bonge la text "baby sorry jana jioni wkt tunaonana nilikua na ela ktk mkoba mzee alinituma nikazitoe benki za mafundi hapa home, kama laki tano. Leo asubuhi kaja fundi nataka nimpe sizioni, nahisi niliibiwa pale Karume... Nimemuambia baba hanielewi, sijui nifanyeje naomba nisaidie..." Text nyngne akaweka vikopa kopa na vile vi emoji kama anaona aibu vile...
Nimeshindwa nimjibu nini
Cha ajabu ukute na anaelalamika mzinga nae kaja kusuuza rungu TU na kusepa.Sasa msilalamike mkipigwa mizinga sababu mnataka wanaovutia,kufeni kiume tu....[emoji3]
Mtu wa maslahi ajifichi mbona, as time goes ataonesha rangi yake halisi.Sasa akipata tabu asiseme jamanii
Sio kimaslahii
Sasa mwanaume gani unakua unakimbia changamoto.Acha anione mnyonge Ila kwangu niliona hiyo ndio njia sahihi ya kumuhepuka.
Ha ha ha....Za masiku mkuu[emoji4]And here we go that is ma boy deepbond zee la kuonga