Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Sahii kabisa,
Kazi ya ukahaba ni utumike kingono Kisha ulipwe Ela, inawachosha sana.

Makahaba wote wakipata fursa ya kupata danga la kuchuna Bila kutumika kingono wanaenjoy Sana.

Hapo kapata mtelezo na hawez kuuacha[emoji4]
Mkuu kapata mtelezo wapi akati hata pesa enyewe hajapewa em mtoa mada alipe hyo pesa alafu atuletee murejesho ili tukamilishe utafiti au unaonaje mkuu
 
Mkuu kapata mtelezo wapi akati hata pesa enyewe hajapewa em mtoa mada alipe hyo pesa alafu atuletee murejesho ili tukamilishe utafiti au unaonaje mkuu
Ningekua mtoa mada,
Ningetoa iyo pesa Kisha nimtumie haswa haswa Kufidia pesa yangu.[emoji4]

Ntampa Tena Mara 2, Mara 3. Kisha ndo Nijifanye nna malengo naye, hapa ataanza kunipa bure.

Baada ya hapo,
Sasa ile bure bure ntaifululiza mpk ile thamani ya Ela yangu yote irudi mpk ifikie wastani wa 50,000 Kila mechi[emoji4]

BAADA YA HAPO NAMBWAGA Maana ELA YANGU IMETUMIKA IPASAVYO
 
Mwambie aje gheto kuchukua...
 

Mpe tu jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwambie tu akamate chepe awe kibarua kurudisha pesa hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…