Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Hata kama , It is not 500k worth
 
Aisee 😀😀😀😀 mtoe shemeji yetu kwenye hilo janga na kumpa hiyo pesa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kuwa na huruma, Mungu anakuona ujue hyo thamani ya 50k kila mechi si atapepea na feni huko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kuwa na huruma, Mungu anakuona ujue hyo thamani ya 50k kila mechi si atapepea na feni huko.
Ha ha ha.....
Huruma ya Nini wkt ananichukulia danga lake.

Akitaka kula, akumbukwe Kuna kuliwa[emoji2]

Tena kwanza hapo mbona nmemhurumia,

Naweza mpa Iyo laki 5,
Kisha mda huo huo nikapitia mlango wa nyuma nikamtegea vibaka wamkabe wamnyanganye Iyo Ela inirudie mwenyewe[emoji4]

Nikitoa laki TU ya kuwalipa vibaka kwa kazi,nabakiwa na laki 4 cash.
Hasara ya laki inakidhi kabisa kufidia ghrama za ule uchafuzi niloufanya kwenye mwili wake[emoji2]
 
Mwambie aje achukue Gheto akija basi unaforce mchezo alaf unampa elfu 50000 kama unayo zaid unampa hata 100000 alaf unasikilizia milio
Kwan amekua Mungu? Yaan hiyo 50,000/= ni 10% ya 500,000/=.
Hiyo ni zaka mzee baba.
 
Na kweli mkuu wewe hushindwi kabisaaa[emoji23][emoji23], Yani watu wanavyofanyaga huu utapeli kizembe sijui huwa hawawazi kwa mapana nashindwa kuelewa kabisaa yani
 
Mkuu huyo manzi kaupiga mwingi mnoo angevita gape kidogo jamani huyu inabidi apewe semina Tena ataharibu mambo[emoji1][emoji1]
Ndio muitishe kikao cha dharura mkubaliane mzinga wa kwanza kima cha chini na cha juu ni kiasi gani. Ila msisahau kuwa mzinga uwe proportional na ukubwa wa tako🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hata kama , It is not 500k worth
Ujanielewa,
Ningetoa iyo laki 5 Kisha nimtumie haswa haswa Kufidia pesa yangu.[emoji4]

Ntampa Tena Mara ya 2, Mara 3. Kisha ndo Nijifanye nna malengo naye, hapa ataanza kunipa bure.

Baada ya hapo,
Sasa ile bure bure ntaifululiza mpk ile thamani ya Ela yangu yote irudi mpk ifikie wastani wa 50,000 kwa Kila mechi[emoji4]

BAADA YA HAPO NAMBWAGA Maana ELA YANGU IMETUMIKA IPASAVYO
 
Na kweli mkuu wewe hushindwi kabisaaa[emoji23][emoji23], Yani watu wanavyofanyaga huu utapeli kizembe sijui huwa hawawazi kwa mapana nashindwa kuelewa kabisaa yani
Ha ha ha ...binafs Ela yangu haiendi kizembe mkuu[emoji4]

Vinginevyo niamue TU kutoa sadaka
 
Ndio muitishe kikao cha dharura mkubaliane mzinga wa kwanza kima cha chini na cha juu ni kiasi gani. Ila msisahau kuwa mzinga uwe proportional na ukubwa wa tako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na awe anajua kuperform kunako 6×6.
Sio unatoa laki 5 afu KUMBE gogo[emoji1787]
 
Sometimes Coincidence Tu Man Kama Uwezekano Wa Kumsaidia Upo Kwanini Usimsaidie.
 
Ndio muitishe kikao cha dharura mkubaliane mzinga wa kwanza kima cha chini na cha juu ni kiasi gani. Ila msisahau kuwa mzinga uwe proportional na ukubwa wa tako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo penye matako ndo panapowaumiza kabisaa wanaume ahh, mkishaona hayo baas vichwa vidogo vinawakimbiza mchaka mchaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…