Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Huu mstari tunauitaje? A thin or thick line? Btn bwege and kapuku--- Hakuna intermediate?
 
Uamuzi ni wako kuingia valentine na mpenzi mpya au ubaki na maisha yako na hela yako[emoji23]

Embu tuseme aliibiwa karume,nani alimuibia pale kwenye nguo? Mbona kama vile indirectly na wewe ni mtuhumiwa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaiyo anamchimba mwizi wake
 

Ndugu yangu we ni mafia sana [emoji3][emoji3]
 
Demu 1 (Mtusi),sijamula bado kaniambia muda huu Ofisini kwake umeme imeisha,ameniambia nimuazime 50,000 anunue umeme.
Demu 2( Mbondei) , huyu ni Single Mama-naye sijawi kumla kaniomba laki 1 apeleke Kikoba.

Kuna demu wangu huwa najipoza poza siku zote huwa mtoto wa Kisandawe anata kesho tutoke OUT.

Sasa hapa nipo napiga hesabu,Wanaume matosa-tena tunayojitafutia mwenyewe.
 
Mpe pole kwa tukio hilo, halafu mwambie muonane ili muongee zaidi.
Ukishaonana naye mwambie utamsaidia laki 2.
Then angalia uwezekano wa kupata burudani kutoka kwake.
Kama upo piga show then mpatie laki 2.
Laki 2 yote hiyo kwa pesa hewa iliyopotea[emoji1787][emoji1787]
 
So true, Hii ndo gia yetu nowdays
 
Mbona kawaida tu? Imekuwa coincidence!
 
Kwani mkuu ukimtumia unaondoka na kitumbua chake?

Unamkamua na anapata raha pia anapata na pesa.
 
Kama unaijua function ya “block contact” ....”Blacklist contact” itumie haraka sana utakuja kunishukuru!

Hicho kilichokutokea kitaalamu kinaitwa “Karibu mjini”
 
Huu mstari tunauitaje? A thin or thick line? Btn bwege and kapuku--- Hakuna intermediate?
Inaweza kuwa thick au thin..

Thick mfano ni watu wenye hela nyingi lakini ni madomo zege na hawajiamini kabisa..Hawa wanawahonga hata mademu wa kawaida tu hela nyingi..wanatapanya tu hela without hesitation.

Thin mfano ni mtu mwenye hela za ngama lakini zote anahongea papuchi tu hana hata kitanda cha kueleweka.
 
Nilimtemaga mpuuzi mmoja😅 nakumbuka nilipigaga once nikaenda Bush kulima nikiwa shamba akawa anaombaga hela akanunue simu!

Sikuwahi kumpa na tulipotezana kwa style hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…