Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Kuna mdada ni mtu wa dini sana yani mtoto anaonekana katulia, huwa anakibiashara chake maeneo flani bac ile kumchangia changia mtoto akanizoea sana akanipa namba bac tukawa tunawasiliana.
Juzi kati nikaamua kumtingisha kidogo nikamwambia ndoto zangu nikuja kumuoa, bac mtoto akawaka mbaya akaongea vitu kibao mara ooh..akutegemea kama nitamwambia vitu kama hivo mara ooh..ananiheshim sana na ananichukulia kama kaka yake.
Nikaona mambo yasiwe mengi nkamwambia bac sawa nisamehe mi sikujua kama unanichukulia kama kaka yako basi wacha tuendelee kuwa kama kaka na dada. Dem akujibu text ila asubuhi akanichek ujumbe wake upo chini hapa👇🏻👇🏻.
Sasa wakuu mi nimeshindwa kumuelewa huyu mtoto anamaanisha nini na kipi nifanye kama mtu akikujibu hv.