Nimemtongoza kanijibu ananichukulia kama kaka yake

Nimemtongoza kanijibu ananichukulia kama kaka yake

Uyo mdada tayali kakubali tayali kazi kwako pambane umkule aisee
 
Ha
Kuna mdada ni mtu wa dini sana yani mtoto anaonekana katulia, huwa anakibiashara chake maeneo flani bac ile kumchangia changia mtoto akanizoea sana akanipa namba bac tukawa tunawasiliana.

Juzi kati nikaamua kumtingisha kidogo nikamwambia ndoto zangu nikuja kumuoa, bac mtoto akawaka mbaya akaongea vitu kibao mara ooh..akutegemea kama nitamwambia vitu kama hivo mara ooh..ananiheshim sana na ananichukulia kama kaka yake.

Nikaona mambo yasiwe mengi nkamwambia bac sawa nisamehe mi sikujua kama unanichukulia kama kaka yako basi wacha tuendelee kuwa kama kaka na dada. Dem akujibu text ila asubuhi akanichek ujumbe wake upo chini hapa👇🏻👇🏻.
Sasa wakuu mi nimeshindwa kumuelewa huyu mtoto anamaanisha nini na kipi nifanye kama mtu akikujibu hv.

View attachment 1975158
[/QUOT. Hata mm nlijiwa ivo ivo mkuu sema bado sijawa serious nae...nafikir wa aina hyo unatakiwa uende nae taratiibu
 
Usimfatilie kata mawasiliano akija kukuuliza mwambie we ukimuona humuoni Kama dada bali mpenzi na hiyo nafasi ya upenzi yeye kaikataa hivyo unaumia na roho yako!.. hili jibu usilitoe kwa haraka muache Kama anafanya kautafiti we mdirect tu then akifika unapotaka ndo umwambie ila usiwe boya sasa.. akikupa jibu urudi Tena Sasa ukakosee ukikosea jibatize jina la Karungu yeye.
Wenzako unawashauri lakini yako sasa..[emoji23]
 
Kwa gia ukio ingia nayo Kama hujajipanga kimaisha achana nae ..kabla mambo hayajawa mengi .

Kwa gia ulio ingia nayo huyo ukigusa tu imo na kugandwa juu.

Kifupi amesha kukubalia Kama mume mtarajiwa sio kupozana vikojoleo [emoji38][emoji38] hapo pana mimba au kuoa kilazima


Kazi kwako
 
Kwa gia ukio ingia nayo Kama hujajipanga kimaisha achana nae ..kabla mambo hayajawa mengi .

Kwa gia ulio ingia nayo huyo ukigusa tu imo na kugandwa juu.

Kifupi amesha kukubalia Kama mume mtarajiwa sio kupozana vikojoleo [emoji38][emoji38] hapo pana mimba au kuoa kilazima


Kazi kwako
😂😂😂😂 umenichekesha sana mkuu
 
Alikuwa na bwana mwingine na akaona utamharibia ndio maana aliwaka

Ushauri

Kama unataka mzigo punguza mawasiliano ila uwe unamcheck mara chache na mazungumzo yasiwe mengi
Akikutumia msg chelewa kujibu
Mwisho atakuletea dudu mwenyewe ufanye unachotamani

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom