Nakushauri achana naye huyo atakusumbua,mademu wa kilokole ni wasumbufu balaa. Kila kitu anataka akamwambie baba mchungaji kwanza hata mbususu atakuambia akamwombe baba mchungaji ruhusa. Wadada wa kilokole shauri yako utakuja kulalamika soon hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu ni hili ...asipofata huu ushauri ataleta uzi tena hapa sio mudaIngekua mm hilo jibu lingetosha kufuta namba yake, akuchukulie kama kaka kwani wewe huna dada hata upande wa ukoo??
Anakuchora tu ili aone kama umekamatika kwake ili akupelekeshe, mpotezee tena ogopa wanaojifanya walokole
Kama unamhitaji kweli na una malengo nae jifanye huna time nae ila usiache kujibu sms zake hata 1 tena jibu kwa umakini wa hali ya juu usikurupuke (uwe kama una msimamo flani hivi) , endelea kufuata mishe zako na usiache kumchangia utaona kinachokuja kutokea.Kuna mdada ni mtu wa dini sana yani mtoto anaonekana katulia, huwa anakibiashara chake maeneo flani bac ile kumchangia changia mtoto akanizoea sana akanipa namba bac tukawa tunawasiliana.
Ushauri murua kabisa huu asipokaza fuvu lake[emoji4]Usimfatilie kata mawasiliano akija kukuuliza mwambie we ukimuona humuoni Kama dada bali mpenzi na hiyo nafasi ya upenzi yeye kaikataa hivyo unaumia na roho yako!.. hili jibu usilitoe kwa haraka muache Kama anafanya kautafiti we mdirect tu then akifika unapotaka ndo umwambie ila usiwe boya sasa.. akikupa jibu urudi Tena Sasa ukakosee ukikosea jibatize jina la Karungu yeye.
Wanawake always wanatry kukucontrol from the first day unamuapproach.Ingekua mm hilo jibu lingetosha kufuta namba yake, akuchukulie kama kaka kwani wewe huna dada hata upande wa ukoo??
Anakuchora tu ili aone kama umekamatika kwake ili akupelekeshe, mpotezee tena ogopa wanaojifanya walokole
Mkuu usipende kuamini watu wa dini, kuna uwezekano huyu mdada alikuwa fuska sana huko nyuma na hana tena soko kwa sasa hivyo anakimbilia kanisani kutafuta wajinga awachezee akili. Anakupa majibu kama haya kwa sababu wewe si target yake. Ogopa sana mwanamke anayeshabikia sana dini kwani unaweza kuta wengi wao ni wachawi, mafuska wastaafu, majinamizi ya talaka, wezi wa fadhila. Usiwaamini hata kidogo.Kuna mdada ni mtu wa dini sana yani mtoto anaonekana katulia, huwa anakibiashara chake maeneo flani bac ile kumchangia changia mtoto akanizoea sana akanipa namba bac tukawa tunawasiliana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpelekee zawadi ya bible na ki memo ndani umwambie ujumbe umetoka kwa Mungu
AseeeKuna mdada ni mtu wa dini sana yani mtoto anaonekana katulia, huwa anakibiashara chake maeneo flani bac ile kumchangia changia mtoto akanizoea sana akanipa namba bac tukawa tunawasiliana.
Juzi kati nikaamua kumtingisha kidogo nikamwambia ndoto zangu nikuja kumuoa, bac mtoto akawaka mbaya akaongea vitu kibao mara ooh..akutegemea kama nitamwambia vitu kama hivo mara ooh..ananiheshim sana na ananichukulia kama kaka yake.
Nikaona mambo yasiwe mengi nkamwambia bac sawa nisamehe mi sikujua kama unanichukulia kama kaka yako basi wacha tuendelee kuwa kama kaka na dada. Dem akujibu text ila asubuhi akanichek ujumbe wake upo chini hapa👇🏻👇🏻.
Sasa wakuu mi nimeshindwa kumuelewa huyu mtoto anamaanisha nini na kipi nifanye kama mtu akikujibu hv.
View attachment 1975158
Kashakubali...huyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kashakupa greenlight mzee baba
Miss aishi Miss NatafutaUsimfatilie kata mawasiliano akija kukuuliza mwambie we ukimuona humuoni Kama dada bali mpenzi na hiyo nafasi ya upenzi yeye kaikataa hivyo unaumia na roho yako!.. hili jibu usilitoe kwa haraka muache Kama anafanya kautafiti we mdirect tu then akifika unapotaka ndo umwambie ila usiwe boya sasa.. akikupa jibu urudi Tena Sasa ukakosee ukikosea jibatize jina la Karungu yeye.
mkuu kwani kuna shida yoyote
🤣🤣🤣 Umeongea kinyonge sanamkuu kwani kuna shida yoyote