Nimemtongoza kanijibu ananichukulia kama kaka yake

Nakushauri achana naye huyo atakusumbua,mademu wa kilokole ni wasumbufu balaa. Kila kitu anataka akamwambie baba mchungaji kwanza hata mbususu atakuambia akamwombe baba mchungaji ruhusa. Wadada wa kilokole shauri yako utakuja kulalamika soon hapa.
 
Ingekua mm hilo jibu lingetosha kufuta namba yake, akuchukulie kama kaka kwani wewe huna dada hata upande wa ukoo??
Anakuchora tu ili aone kama umekamatika kwake ili akupelekeshe, mpotezee tena ogopa wanaojifanya walokole
Jibu ni hili ...asipofata huu ushauri ataleta uzi tena hapa sio muda
 
Kuna mdada ni mtu wa dini sana yani mtoto anaonekana katulia, huwa anakibiashara chake maeneo flani bac ile kumchangia changia mtoto akanizoea sana akanipa namba bac tukawa tunawasiliana.
Kama unamhitaji kweli na una malengo nae jifanye huna time nae ila usiache kujibu sms zake hata 1 tena jibu kwa umakini wa hali ya juu usikurupuke (uwe kama una msimamo flani hivi) , endelea kufuata mishe zako na usiache kumchangia utaona kinachokuja kutokea.
 
Ushauri murua kabisa huu asipokaza fuvu lake[emoji4]
 
Ingekua mm hilo jibu lingetosha kufuta namba yake, akuchukulie kama kaka kwani wewe huna dada hata upande wa ukoo??
Anakuchora tu ili aone kama umekamatika kwake ili akupelekeshe, mpotezee tena ogopa wanaojifanya walokole
Wanawake always wanatry kukucontrol from the first day unamuapproach.

Ukijichanganya ukalegeza sauti,
ukawii kutangaziwa umelishwa limbwata.
 
Huyu Ni waleee wanaopenda mideko na mabembelezooo

Ila anakutaka Sana
 
Mtoto mbona ameshakuelewa huyo na ombi lako ameshalipitisha, sasa unapanic nini?!
 
Kuna mdada ni mtu wa dini sana yani mtoto anaonekana katulia, huwa anakibiashara chake maeneo flani bac ile kumchangia changia mtoto akanizoea sana akanipa namba bac tukawa tunawasiliana.
Mkuu usipende kuamini watu wa dini, kuna uwezekano huyu mdada alikuwa fuska sana huko nyuma na hana tena soko kwa sasa hivyo anakimbilia kanisani kutafuta wajinga awachezee akili. Anakupa majibu kama haya kwa sababu wewe si target yake. Ogopa sana mwanamke anayeshabikia sana dini kwani unaweza kuta wengi wao ni wachawi, mafuska wastaafu, majinamizi ya talaka, wezi wa fadhila. Usiwaamini hata kidogo.
 
Ehee Ameisha!

We endelea kucheza kwenye 18 zake zile pasi fupifupi na chenga za maudhi kama za Messi, usipige tena shuti golini.

Ni suala la muda tu ye mwenyewe atakuja kukukaba ,akikugusa tu unajiangusha unagalagala kama Ronaldo.

Refa akifanya yake,ni wewe tu kipa ameshauza mechi!
 
Aseee
 
Miss aishi Miss Natafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…