kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 316
- 848
- Thread starter
-
- #41
Kweli ila huyu Demu Nina ukaribu nae kama miezi miwili Leo ndio nimemtongozaWatu bado mnatongoza hivyo.
Siku hizi kuna njia mbili.
1. Demu ukimuelewa unaweka ukaribu nae, mpka anaelewA tuu, then una mtoa out/ au unamuita gheto( hapa inategemea na hadhi ya demu). Kifuatacho .......
2. Au una mpa pesa....
Kuwa makini hawachelewi kushika mimba hao. Jiandae kwa lolote lilePoa poa kaka ngoja kesho nianze michakato
Mkuu kwanini uaomba msamaha? Yan unataka akukubalie kwa kukuonea huruma na sio kwakukupenda... Kwani ukimwambia mtu unampenda kimapenz unakua unamkosea? Aisee we jamaa wanawake watakutesa sana aisee... TAFUTA HELA USIWE UNAOMBA MISAMAHA YA AJABU AJABU... MPAKA NAKUFA SIJI KUOMBA MSAMAHA KWA KOSA AMBALO SIJAFANYA MIMI..Wakuuu naombeni mbinu nimepewa jibu ili vipi APA?
Kakubali hau kazingua hau ananichoraaa??
View attachment 2471471
Una nyota kali demu ashakuelewa kitambo acha uoga kula vitu na utafute pesa, ujumbe umejaa unyonge sana nishani ya ubaharia sikupi ntakupa ya ufisi.Wakuuu naombeni mbinu nimepewa jibu ili vipi APA?
Kakubali hau kazingua hau ananichoraaa??
View attachment 2471471
duh mlokole tena sa utatia lini mzeeKaka ni Demu ninaeshimiana nae sana halafu mlokole kinoma lazima uoga
Tena walokole na hawa wanajitia born again sijui new born again ndio wanapenda kutiwa vibaya sana na wanatiwa sana mwisho wa mwaka maana wanajifanya wanafuga nyege kwa hio mwisho wa mwaka pale kwenye kusherehekea mwaka mpya wanapigwa sana mitishamba, usijotoe akiliKaka ni Demu ninaeshimiana nae sana halafu mlokole kinoma lazima uoga
Ahahahahah noma sana mkuu.Ameelewa . Kasema ameelewa. Kwa ufafanuzi zaidi washirikishe wazazi wako, maana kama wana mpango wa kukopa ada mkopo wa kausha damu, bora wakanunue mbuzi wa maziwa wafuge
Mkuu acha UJINGA. Hizi habari za kujudge a book by its cover zitakuponza..kwamba ulokole ndo nn., tena hawa wafia dini ndio wana MIENENDO MIBAYA KUPITILIZA.Kaka ni Demu ninaeshimiana nae sana halafu mlokole kinoma lazima uoga
Kakuelewa.Wakuuu naombeni mbinu nimepewa jibu ili vipi APA?
Kakubali hau kazingua hau ananichoraaa??
View attachment 2471471
Poa poa msaniiKakuelewa.
Nenda hatua ya pili sasa
SawaMkuu acha UJINGA. Hizi habari za kujudge a book by its cover zitakuponza..kwamba ulokole ndo nn., tena hawa wafia dini ndio wana MIENENDO MIBAYA KUPITILIZA.
Use your brain, acha kutumia kichwa kama kabati la kuhifadhi meno..
ova.
Hapo unatongoza au unaomba kazi?Wakuuu naombeni mbinu nimepewa jibu ili vipi APA?
Kakubali hau kazingua hau ananichoraaa??
View attachment 2471471
[emoji848][emoji848][emoji848]Hapo unatongoza au unaomba kazi?