Nimemtongoza kanijibu hivi, nifanyaje?

Watu bado mnatongoza hivyo.

Siku hizi kuna njia mbili.

1. Demu ukimuelewa unaweka ukaribu nae, mpka anaelewA tuu, then una mtoa out/ au unamuita gheto( hapa inategemea na hadhi ya demu). Kifuatacho .......

2. Au una mpa pesa....
Kweli kabisa mkuu
 
Heheeeee hawa mademu wanaitwa rechael utakuja na uzi mwingine soon

Hutakaa uamini nakuambia utaendeshwa nzobe nzobe mpaka akili ikae sawa
 
Nikutongoza au kusimulia hadithi...... Niambie wap umetongoza kweny hiyo msj. Kichwa cha habari kilitakiwa kiseme "nimemwambia hivi kwa msj naye kanijibu hivi, nifanyeje"???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…