Nimemtongoza kanijibu hivi, nifanyaje?

Nimemtongoza kanijibu hivi, nifanyaje?

Huyu mleta mada nafkiri atakuwa kijana wa 20's... JF kadri siku zinavyozidi kusonga unakuwa mtandao wa watu wa hovyo tu!

Eti dogo anatongozana na mabeki tatu wa kitaa analeta screenshot humu. Kuandika kwenyewe hujui! Kutogoza huwezi yaan tabu tupu! Dahh!

Uko level gani chuoni bwana mdogo?!... Cheti, diploma au ndo umemaliza Form-four?! 🤔🤔🤔
 
Huyu mleta mada nafkiri atakuwa kijana wa 20's... JF kadri siku zinavyozidi kusonga unakuwa mtandao wa watu wa hovyo tu!

Eti dogo anatongozana na mabeki tatu wa kitaa analeta screenahot humu. Kuandika kwenyewe hujui! Kutogoza huwezi yaan tabu tupu! Dahh!

Uko level gani chuoni bwana mdogo?!... Cheti, diploma au ndo umemaliza Form-four?! [emoji848][emoji848][emoji848]
Sawa mamaangu
 
Wanawake wengi huwa hawasemi ndiyo ila matendo yao huonesha ndiyo km amekubali.
Hapo cha kushangaza napo utaomba mchezo. Mm demu nikimtongoza nikaona anaeleweka hata km hajasema huyo namuweka km mke wangu. Huwa siombi mchezo. Nashika nakula
Duuuh kaka ww nomaaa
 
Watu bado mnatongoza hivyo.

Siku hizi kuna njia mbili.

1. Demu ukimuelewa unaweka ukaribu nae, mpka anaelewA tuu, then una mtoa out/ au unamuita gheto( hapa inategemea na hadhi ya demu). Kifuatacho .......

2. Au una mpa pesa....
 
Back
Top Bottom