Nimemtongoza Mhasibu hapa Ofisini bila kujua, tumekuja kukutana Lodge

Aisee kizazi cha leo hatari sana!
Yani saa 4 asubuhi mnaacha kazi mnaenda kufanya uovu bila aibu! Hiyo taasisi au shirika lenu litakuwa limekula hasara!
Hiyo ndo mida sasa wake na waume za watu wanaofanya kazi wanachepuka jioni akirudi home hata hutaelewa kama mke wako kabanjuliwa na classmate wake aliyekuja kikazi hapo
 
swala kuliwa na simba sio habari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…