kabila01
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 4,235
- 4,964
- Thread starter
- #21
Hiyo ndo mida sasa wake na waume za watu wanaofanya kazi wanachepuka jioni akirudi home hata hutaelewa kama mke wako kabanjuliwa na classmate wake aliyekuja kikazi hapoAisee kizazi cha leo hatari sana!
Yani saa 4 asubuhi mnaacha kazi mnaenda kufanya uovu bila aibu! Hiyo taasisi au shirika lenu litakuwa limekula hasara!