Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

Ujinga wake uko wapi?
Kumjua mkewe yukoje ni ujinga?
Kweli Kuna watu wa ajabu hii nchi.
Serious na wewe unaungana na jamaa kwa kitendo alichofanya..😂😂😂😂😂😂😂
Eeeeh Tiktok unatumia jina gani ...?
😂😂😂
 
Vifo vingine ni vya kujitakia..!! Sifanyi usenge huu..!!
 
Muombe Game mwambie mkutane lodge fulan chumba namba fulan akija mpka ndani atajua hajui .
 
Oya hawa wanawake jau sanaa huo mchezo mi nishawah fanya kwa wanawake tano na wote wakakubali

Kitu nilichokuja kugundua kwamba mwanamke bhana ndo walivyo yana wana uzaifu mkubwa sana tena sana tena narudia wnawake wa udhaifu mkubwa sana tena wote duniani

Yan hio kitu huwez kuibadilisha kwa mwanamke ndo walivyo na ukisema uchukulie serious kila siku utakuwa unabadilisha wanawake kwasbb huwezi badilish huo mfumo wao

Kitu kikubwa ni wew kuacha tu huo mchezo sababu utakuwa unajiumiza tu wew bila sababu

Itoshe kusema wanawke hawariziki na ndo maana mimi nawachukia sana hawa viumbe na nikiwapata nasmash kabisa bila huruma
 
😁😁😁 unajitafutia stress mkuu ila usimchukulia hivyo wenfine umo mitandaoni wanafanya kufurhisha wanaume iama kakubali kumbe anapunguza stress kwa kushinda mtandaoni anachat
Mwambie muonane uone kama atakubali😂
 
😁😁😁 unajitafutia stress mkuu ila usimchukulia hivyo wenfine umo mitandaoni wanafanya kufurhisha wanaume iama kakubali kumbe anapunguza stress kwa kushinda mtandaoni anachat
Mwambie muonane uone kama atakubali😂
Sawa nitakurudia lakini hana shida maana nilimwambia nipo mkoa akasema ye hawez kuja labda nimfuate
 
Unasmarsh kwamba unapiga Mbupu sana siyo
 
Hapa mkuu nmekubali kua ndo wanawake karibu wote!
Kama ndo hivo nitaacha maana nilijua ni huyu tu
 
Mbona moyo wako umetulia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…