Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

Serious na wewe unaungana na jamaa kwa kitendo alichofanya..😂😂😂😂😂😂😂
Eeeeh Tiktok unatumia jina gani ...?
😂😂😂
Nadhani kasema kuwa alifungua account kwa sababu ya hiyo mission maalum. Kosa lake ni nini? Nadhani jamaa amefanya vizuri sana kujua mke wake yukoje.
 
Huko tiktok ni wapi wakuu,🐼🐼
 
Kuna issue hapa. Wazinzi wote wanamtukana jamaa eti amefanya ujinga. Trust me. Hawa wote wanaotukana kuwa jamaa kafanya ujinga ni waasherati wakubwa wanaogopa kuwa ujanja wa jamaa ukitumiwa na wenza wao basi watakamatika kirahisi sana.
 
sasa mfano ndo unakuta bodaboda wanasema hivyo kuhusu mama yako wanasimamshi Halafu wanapita hivi, au mdogo wako wakike🤣🤣🤣🤣
mkuu pole sana what goes around comes around.
 
Bora wewe kuna dogo langu alifanya huo mchezo akaambiwa mume wake alifariki
 
Mkeo sio Malaya....Wala usimfikirie hivo.


Wewe ni Moja ya kundi letu wanaume ambao Huwa tuna lugha nzuri sana ya kutongoza.

Yaan unaweza mfanya Demu akajiona mpya Kila siku Kwa sababu Kila siku una mtongozo mpya mpya.


Hivo usimjaribu.
 
Pia kama umeoa mwanamke na kuanzia kula yake mpaka kazi au biashara ni wewe hapo.

Piga marufuku uwepo wake kwenye mitandao ya kijami.


Kwa sababu huko ndiko anaonana na washikaji wa shule ya msingi...Sekondari, chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…