Nimemuacha amenuna, kisa nimemjibu swali lake tofauti na alivyotarajia...🤣

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,788
Reaction score
113,025
Siku imeenda uzuri kabisa..... Mara ghafla akaniuliza kwamba eti ikitokea amenitangulia, nitamzika na nini?
Mimi nikamjibu simple na jibu lipo wazi kabisa kwamba......

Nitamzika na fire extinguishers kwa sababu najua akikufa ataenda motoni...😜

Au nimekosea kumjibu wakuu....🤔
 
Anakupima mkuu kuwa makini ?
Alitaka ajue atatangulizwaje maana inawezekana ulishika simu yake!
 
Back
Top Bottom