😁😁Nilitoroka milembe...🙄
External validation dependence!!!Au nimekosea kumjibu allo...
😀😀😀Nilisha wakataza mkilewa msianzishe uzi....😜
Siku imeenda uzuri kabisa..... Mara ghafla akaniuliza kwamba eti ikitokea amenitangulia, nitamzika na nini?
Mimi nikamjibu simple na jibu lipo wazi kabisa kwamba......
Nitamzika na fire extinguishers kwa sababu najua akikufa ataenda motoni...
waambie ulikuwa utan wa wapenzi.Nimeitwa kwenye kikao cha wazazi eti nikaelezee...
Nimeitwa kwenye kikao cha wazazi eti nikaelezee...