Anakupima mkuu kuwa makini ?Siku imeenda uzuri kabisa..... Mara ghafla akaniuliza kwamba eti ikitokea amenitangulia, nitamzika na nini?
Mimi nikamjibu simple na jibu lipo wazi kabisa kwamba......
Nitamzika na fire extinguishers kwa sababu najua akikufa ataenda motoni...😜
Au nimekosea kumjibu wakuu....🤔
Akili ndio kitu umenyimwa 🤣Mchagua nunu sio mfanyaji....😜
Wewe kuna namna unapaswa ushughulikiweMbona inajulikana sinaga akili mimi😜