Nimemuacha amenuna, kisa nimemjibu swali lake tofauti na alivyotarajia...🤣

Pole mkuu,imeandikwa tuishi nao kwa akili,maana huwa wanabadilika badilika kama disco lights
 
Siku imeenda uzuri kabisa..... Mara ghafla akaniuliza kwamba eti ikitokea amenitangulia, nitamzika na nini?
Mimi nikamjibu simple na jibu lipo wazi kabisa kwamba......

Nitamzika na fire extinguishers kwa sababu najua akikufa ataenda motoni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…