Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Mwanaume wa Kisukuma utazingua weee na viingereza vyako ye anakuangalia tu maana huwa wanapenda mazima. Sasa wewe jiringishe ringishe siku akija kutema bungo hutaamini.Wanaume toka kanda ya ziwa walau naona wamejitahidi ku-maintain ile masculinity. πͺ
Hawako tayari kutawaliwa na mwanamke kwa sababu yoyote iwe .
Na hiyo ni kutokana na asili ya uumbaji na vitabu vitakatifu.
Nawaoubali sana wanaume wa kisukuma na kikurya.
Yaani mwanamke jitie wazimu uwezavyo tishia kutaka kuachana na kudai talaka , they donβt care πππ
Wanajiamini maisha ni lazima yaendelee.
Wanaume wa kihaya sijaweza kupata exposure na kujifunza kuwajua wao wakoje ni wale wa βmama fulani sawa tuβ au ni wanaume wanaujua kusema hapana kwenye hili na hili bila kuyumbishwa.
Letβs reimagine masculinity πͺπͺ
Yes, maisha ni lazima yaendelee....πͺπͺπͺ