Nimemuacha mkurya rasmi

Nimemuacha mkurya rasmi

Wanaume toka kanda ya ziwa walau naona wamejitahidi ku-maintain ile masculinity. 💪
Hawako tayari kutawaliwa na mwanamke kwa sababu yoyote iwe .
Na hiyo ni kutokana na asili ya uumbaji na vitabu vitakatifu.
Nawaoubali sana wanaume wa kisukuma na kikurya.
Yaani mwanamke jitie wazimu uwezavyo tishia kutaka kuachana na kudai talaka , they don’t care 👌👌👌
Wanajiamini maisha ni lazima yaendelee.
Wanaume wa kihaya sijaweza kupata exposure na kujifunza kuwajua wao wakoje ni wale wa “mama fulani sawa tu” au ni wanaume wanaujua kusema hapana kwenye hili na hili bila kuyumbishwa.

Let’s reimagine masculinity 💪💪
Mwanaume wa Kisukuma utazingua weee na viingereza vyako ye anakuangalia tu maana huwa wanapenda mazima. Sasa wewe jiringishe ringishe siku akija kutema bungo hutaamini.

Yes, maisha ni lazima yaendelee....💪💪💪
 
Wanaume wanaojielewa hata awe lofa kiasi gani hakubali kuwa chini ya mwanamke.
Hata awe anapitia kipindi ambacho hana kazi wala kipato hatakibali kutawaliwa na mwanamke.
Hata mwanamke awe na kipato kikubwa kumzidi hakubali abadani kuuza heshima na nafasi ya uanaume wake👌👌👌

Hivyo ndipo inavyopaswa kiwa na nyumba ya hivyo ambayo Mwanaume ni kichwa anatawala baraka huwa hazipungui kuliko kinyume chake.
 
Back
Top Bottom